Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,876
- 11,004
Haha .Simchukii jamaa, nachukia motivational speakers. Kwa jinsi alivyokuwa anaji'brand' lazima wangemchukua tu.
Akizingua itakula kwake vijana si wana hasira...
Haha .Simchukii jamaa, nachukia motivational speakers. Kwa jinsi alivyokuwa anaji'brand' lazima wangemchukua tu.
Akizingua itakula kwake vijana si wana hasira...
Haha nikuambue kitu CCM, inawapenda watu ambao Wana uwezo wa kuongea uongo, ukaonekana ni ukweli.Simchukii jamaa, nachukia motivational speakers. Kwa jinsi alivyokuwa anaji'brand' lazima wangemchukua tu.
Akizingua itakula kwake vijana si wana hasira....
Wanatafakari sana na huo ndio mwisho wao wa kutafakari. Wakitafakari zaidi ya hapo watapoteza Madaraka!. Kitu ambacho hawapo tayari.Kuna mambo yanafanyika unabaki kujiuliza hawa kweli wanatafakari kweli?
Ndio career imekufa hapo, maana akifeli kuleta mabadadiliko na kuonekana sell out basi atashindwa tena kurudi kwenye career ya vitabu ama kutoa motivation kwa vijana maana utawashawishi nini wakati ulipopewa wizara ulifeli.Joel nnauka kwenye publishing industry anajulikana kwa kuchapa vitabu na ni moja ya waandishi wachache wanaouza vitabu online successfully. Kwa hiyo kwenye digital space ana jina lake
Nachokiona, joel kazi zake nyingi zinahusiana na vijana lakini pia anaelewa digital space vizuri. Ndio maana ametumika,
So wengi wanamuona kama jamaa flani aliye na mkeka safi. So kuingia katika wizara kama hiyo katika position ya kiserikali inaweza muondolea hiyo innocence sawa na Mwana FA
Ndio career imekufa hapo, maana akifeli kuleta mabadadiliko na kuonekana sell out basi atashindwa tena kurudi kwenye career ya vitabu ama kutoa motivation kwa vijana maana utawashawishi nini wakati ulipopewa wizara ulifeli.
Hii wizara if anything wangeachiwa Gen Z wenyewe waiendeshe na huko iwe mahali pa ventilation ili watatue changamoto kwa pamoja na serikali. Katibu mkuu wa wizara mwenyewe ni mzee tayari failure kabla hajaanza.
Nadhani gen Z wengi hawana experience na maturity hiyo. So sio mbaya wakiwepo pia millenials kama implementors na wazee wachache kama washauri.Ndio career imekufa hapo, maana akifeli kuleta mabadadiliko na kuonekana sell out basi atashindwa tena kurudi kwenye career ya vitabu ama kutoa motivation kwa vijana maana utawashawishi nini wakati ulipopewa wizara ulifeli.
Hii wizara if anything wangeachiwa Gen Z wenyewe waiendeshe na huko iwe mahali pa ventilation ili watatue changamoto kwa pamoja na serikali. Katibu mkuu wa wizara mwenyewe ni mzee tayari failure kabla hajaanza.