PostGE2025 Samia anamtumia Nanauka kuwazima Gen-Z

PostGE2025 Samia anamtumia Nanauka kuwazima Gen-Z

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mtunzi alikuwa Elvis Msiba, hakuna cha AI Wala nini, unasoma vitabu vyake hadi mwili wa sisimkA! Kuna baadhi ya Chapter za kitabu cha njama. Ulipokuwa ukimaliza kuzisoma, unakuwa tayari unajua Willy Gamba kama tayari ni....!!! Sema hakuna kitu iliniuma kama 'kuondoka' kwa Veronica!!!
Alikua anakopi(plagiarism)
 
Alikuwa anakopi wapi na mimi nikaisome hiyo orijino ya Njama!!
We ukisoma hivyo vitabu kama njama,pale kwenye maonesho ya mavazi na bunduki yenye kiwambo cha sauti huoni ni movie za kibabe za 1980s-1990s!?..ni vile hatukua na video kipindi hicho na yeye alikua na access
 
Ndo mbunge pekee ambaye huko kwao waliandamana kwa ajili ya kumpongeza

Na ni mbunge pekee ambaye Instagram account yake upande wa comment haukuti tusi hata moja

Kijana wa CHADEMA huyo aliyeibukia CCM
 
Akiteuliwa mwenye elimu ya kuunga unga watu wanasema ooh anateua vilaza

Akiteuliwa mtu ambaye elimu yake haina kona kona watu wanasema oohhh hatumtambui huyo waziri feki ila Gen Z 😅😅😅
 
Back
Top Bottom