PostGE2025 Samia anamtumia Nanauka kuwazima Gen-Z

PostGE2025 Samia anamtumia Nanauka kuwazima Gen-Z

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Legacy ipi mimi ndo namsikia leo!
Joel nnauka kwenye publishing industry anajulikana kwa kuchapa vitabu na ni moja ya waandishi wachache wanaouza vitabu online successfully. Kwa hiyo kwenye digital space ana jina lake

Nachokiona, joel kazi zake nyingi zinahusiana na vijana lakini pia anaelewa digital space vizuri. Ndio maana ametumika,

So wengi wanamuona kama jamaa flani aliye na mkeka safi. So kuingia katika wizara kama hiyo katika position ya kiserikali inaweza muondolea hiyo innocence sawa na Mwana FA
 
Akiteuliwa mwenye elimu ya kuunga unga watu wanasema ooh anateua vilaza

Akiteuliwa mtu ambaye elimu yake haina kona kona watu wanasema oohhh hatumtambui huyo waziri feki ila Gen Z 😅😅😅
Haujaelewa maana ya 'waziri feki'.
 
Akiteuliwa mwenye elimu ya kuunga unga watu wanasema ooh anateua vilaza

Akiteuliwa mtu ambaye elimu yake haina kona kona watu wanasema oohhh hatumtambui huyo waziri feki ila Gen Z 😅😅😅
Kwa kifupi ccm imekataliwa jumla
 
Huyo failure ana ushawishi gani? Asije haribu hata halo ka influence alicho nacho kwa ma Simp na marriage failures
 
 
Kitabu chake kitakachofuata ni
"Unretreatable Gen z "
result of unmeet challange
 
Joel Nanauka uwe makini sana, usije ukapoteza legacy uliyoitafuta kwa taabu na kwa mda mrefu kwa kutumiwa na huyu bibi kuficha uovu wake

View attachment 3503255
Nanauka is among the smartest brains we have. He is humble, approachable and disciplined. Si watu wengi wamebarikiwa kuwa alivyo huyu kaka yetu. Itoshe kusema tunamtakia utumishi mwema.
 
Huyo failure ana ushawishi gani? Asije haribu hata halo ka influence alicho nacho kwa ma Simp na marriage failures

JoelNanauka uwe makini sana, usije ukapoteza legacy uliyoitafuta kwa taabu na kwa mda mrefu kwa kutumiwa na huyu bibi kuficha uovu wake

View attachment 3503255
Kwangu mimi na yeyote mwenye japo punje ya uzalendo kwenye taifa lake,hii ni mtego wa panya waliounda taifa lao,na taifa lao wameridhia kwa hiyari,kuliwa na paka kisa paka katega mtego ambao anajua kamwe panya hatauvuka kabla ya kuwa kitoweo cha wakati atakapo amua mwenyewe,iwe wakati wa chai,chakula cha mchana ama kile cha usiku,ama hata karamu.Na pindi ikitokea panya kajilengesha kwenye mtego huuhuo ndiyo mwisho wa taifa la panya na kizazi chake na kitakacho salia ni utawala wa paka pekee.Sijamhukumu yeyote na nisihukumiwe pia.Asanteni na jioni na usiku mwema.
 
Back
Top Bottom