PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ujue ili iweje na wakati wewe ni msusaji uchaguzi tu gentleman?


kwanini usisusie kujua hata kinachoendelea na itapendeza zaidi gentleman?🐒
 
Hahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.
 
Ulishawahi kuona una hamu na kitu na ukikipata akikusaidii chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…