GE2025 Samia afanyiwa dua na sala na Masista wa Ndanda

GE2025 Samia afanyiwa dua na sala na Masista wa Ndanda

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
2030 Samia akitoka

IMG_20250928_150527.jpg
 
Hivi ile salam aliyoingia nayo baada ya kurithi kiti siku hizi haisikiki, kulikoni?
 
Huwezi kusema neno kama hujui sala yenyewe ilikuwaje!

Pengine ni sala ya kumwomba Mungu amjalie hekima ili aache kuteka na kuua, Au pengine ni sala ya kumwomba Mungu ili amjalie hekima ya kutenda haki badala ya maigizo, kuacha kuwatumia polisi dhidi ya wanaoitafuta haki.

Lakini jambo moja lililo wazi, Mungu wetu habariki dhambi, ila anaweza kuofuta dhambi ukifanya toba iliyo ya kweli.
Ukiisoma vyema picha hiyo, hili ni pambio lililo pangwa; ni 'photo op', kuitumia kuhadaa watu; hasa waumini wa kanisa hilo na waTanzania wengine.

Hapo hakuna cha sala wala nini, ni mwendelezo wa hadaa zilezile zinazojulikana kwenye utawala huu.
 
Masista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.

 
Back
Top Bottom