Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,717
karanga za kuchoma?Hapo kwenye karanga umenikamata, maana ni mteja wa kudumu wa karanga za kuchoma, iwe za kwenye vimifuko au zile za kupimiwa kwa kijiko.
karanga za kuchoma?Hapo kwenye karanga umenikamata, maana ni mteja wa kudumu wa karanga za kuchoma, iwe za kwenye vimifuko au zile za kupimiwa kwa kijiko.
karanga za kuchoma?
Kula tu ndugu yangu ili mradi hudhuriki mengine M ungu anajuaHapo kwenye karanga umenikamata, maana ni mteja wa kudumu wa karanga za kuchoma, iwe za kwenye vimifuko au zile za kupimiwa kwa kijiko.
Jamaa anaongezea vitamini zaidi kwenye hizo sambusa
View attachment 510750
Hivi hawa wauza sambusa huko mitaani wakibanwa haja ndogo au kubwa madumu yao ya sambusa huwa wanamuachia nani wakienda msalani?na wauza karanga je?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
virutubisho muhimu