Jamaa anaongezea vitamini zaidi kwenye hizo sambusa
View attachment 510750
Hivi hawa wauza sambusa huko mitaani wakibanwa haja ndogo au kubwa madumu yao ya sambusa huwa wanamuachia nani wakienda msalani?na wauza karanga je? virutubisho muhimu
Hahaha waaoww ndio maana una afya nzuri
Unaingia hadi jikoni?Nashukuru mungu sipendi kula vitu vya barabarani mana hata migahawa naangalia palivyo kwanza kama sijaridhika na mazingira sili
Jamaa anaongezea vitamini zaidi kwenye hizo sambusa
View attachment 510750
Hivi hawa wauza sambusa huko mitaani wakibanwa haja ndogo au kubwa madumu yao ya sambusa huwa wanamuachia nani wakienda msalani?na wauza karanga je? virutubisho muhimu
Dhaa!! Unanitamanisha ujue
Bibie numbisa maana
Mm na sambusa pete na kidole
Ila co hzo za kuwekewa mguu
Zle za uswaz znakuaga na kachumbar
tena za motoo
Kuish uswaz raha thana
pamoja na jasho la mwili ndani.Hahaaha unavunja mbavu zangu,umenikumbusha enzi zile walikua wanakanda unga wa ngano kwa miguu. Skonzi na mikate inatoka mitaaamu
Hahaaha unavunja mbavu zangu,umenikumbusha enzi zile walikua wanakanda unga wa ngano kwa miguu. Skonzi na mikate inatoka mitaaamu