Samaki!!!!!!!!!!

Maneno ya kiivi, kama naambiwa mie na muda huo ndo nimeingia ofisini asubuhi, wallahi narudi hom, saa hiyohiyo! Hadi the followin' day nianze siku mpya.
Heheheheee huyo jamaa ana kichwa ngumu sana hawezi kuondoka
 
Dah umesababisha nimekuja huku sokoni kumtafuta ili nikamuandae nianze kumla kwa raha zangu lol
Utakuja tumle kwa ushirikiano cacico ?
 
Last edited by a moderator:
Raha ya Sato waweza mla pande zote mbili pasipo hata kumgeuza!
 
Dah umesababisha nimekuja huku sokoni kumtafuta ili nikamuandae nianze kumla kwa raha zangu lol
Utakuja tumle kwa ushirikiano cacico ?
kizuri kula na mwenzio Erickb52 na kitamu ramba na mwenzio, maadam umenialika, nitakuwa mchoyo wa fadhila kutoridhia ombi lako, haswa ukizingatia jei efu we are one family, nitakuja kaka. kikiiva tu niPM, fasta nitakuwa hapo! tutaanza na jicho kisha tumalizie mkia, hiyo imekaaje?? usisahau pilipili manga!
 
Last edited by a moderator:
Raha ya Sato waweza mla pande zote mbili pasipo hata kumgeuza!
yarabi maulana watu8 sasa bila kumgeuza upande wa chini utaulaje?? au unapitisha vidole kwa chini ili ule?? tujuzane basi!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hilo usijali na uko juu sana
NtakuaPM kikiiva uje ujirambe
Pilipili Manga muhimu siunajua tena makorombwezo muhimu
Keep tuned
 
"samaki ana vipande vingapi"...............Vitatu
"Kichwa, tumbo na mukia"................

chezeya samaki wewe
cacico check ur PM
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…