Samaki waelea ufukweni Dar. Serikali yachunguza chanzo…

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,671
2,000
Mbona tunaona picha ya barua hatujaona picha ya samaki wakiteketezwa na mashuhuda
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,710
2,000
Naamini katika mazingira hao ni kwamba wamekufa,

Hivi kweli mtu unakuta samaki kafa mwenyewe unabeba ukalee???
Huku ni kuendekeza njaa kulikopitiliza,

unafika nyumbani na lijibesi lako unajifanya umetoka kununua samaki kumbe umeokotaaa, ukiua familia???
Eti familia imelazwa au imekufa(yote hatuombei yatokee) kisa pelege????
Wanauza. Binadamu wamekuwa wanyama kwenye mambo ya fedha. Tena wanauza bila kupepesa macho wala kujali kama wanaweza kuua binadamu wengine.
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,620
2,000
Ukiwa mtu mwenye kipato, unaeweza kumudu chakula bila wasiwasi, ni rahisi sana kutoa kauli ya namna hiyo.

You sound like a highly privileged black kid!
Trueee! Tunadharauliana sana hapa nchini yani mtu mwenye nafasi ya kupeleka surplus kwake anamuona mbangaizaji kama hana akili timamu!
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,620
2,000
Wananchi wenye njaa kali wamejipatia kitoweo, mgaagaa na upwa hali wali mkavu
Riziki ya mbwa iko miguuni mwake bwana wakati unatembea zako ufukweni kupoteza stress unakutana na vi “Piranha” unaokota na kwenda nao home kujipatia lishe bora😅😅😅
 

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
4,552
2,000
Riziki ya mbwa iko miguuni mwake bwana wakati unatembea zako ufukweni kupoteza stress unakutana na vi “Piranha” unaokota na kwenda nao home kujipatia lishe bora😅😅😅
Maisha ya bongo raha sana, samaki wanakufuata wenyewe kutoka kina kirefu katikati ya bahari 🤣
 

The wave

Senior Member
Feb 27, 2021
156
250
Samaki wa Dar ni Kama wanaume wa dar, husumbuki unajikamatia kwa ulaini bila ndoano wala nyavu.
 

SMART GHOST

JF-Expert Member
Feb 3, 2020
410
1,000
Trueee! Tunadharauliana sana hapa nchini yani mtu mwenye nafasi ya kupeleka surplus kwake anamuona mbangaizaji kama hana akili timamu!
Sure bro. Sihalalishi watu kula vyakula visivyokua salama, ila natambua uwepo wa watanzania wenzetu wenye hali mbaya kiuchumi na njaa kali. Mtu ameshinda njaa siku nzima, na haelewi kama atapata chochote, then anakutana na hao samaki. Unadhani atafikiria mara mbili?

Kuna watu hawaijui njaa, hao ndio wanatoa kauli za kishujaa humu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom