AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,615
- 2,337
Walisikika wakongwe......wakitoa misamiati hiyo hapo kale, na kweli leo imethibiti misamiati hiyoWananchi wenye njaa kali wamejipatia kitoweo, mgaagaa na upwa hali wali mkavu
Walisikika wakongwe......wakitoa misamiati hiyo hapo kale, na kweli leo imethibiti misamiati hiyoWananchi wenye njaa kali wamejipatia kitoweo, mgaagaa na upwa hali wali mkavu
Wanauza. Binadamu wamekuwa wanyama kwenye mambo ya fedha. Tena wanauza bila kupepesa macho wala kujali kama wanaweza kuua binadamu wengine.Naamini katika mazingira hao ni kwamba wamekufa,
Hivi kweli mtu unakuta samaki kafa mwenyewe unabeba ukalee???
Huku ni kuendekeza njaa kulikopitiliza,
unafika nyumbani na lijibesi lako unajifanya umetoka kununua samaki kumbe umeokotaaa, ukiua familia???
Eti familia imelazwa au imekufa(yote hatuombei yatokee) kisa pelege????
Trueee! Tunadharauliana sana hapa nchini yani mtu mwenye nafasi ya kupeleka surplus kwake anamuona mbangaizaji kama hana akili timamu!Ukiwa mtu mwenye kipato, unaeweza kumudu chakula bila wasiwasi, ni rahisi sana kutoa kauli ya namna hiyo.
You sound like a highly privileged black kid!
Riziki ya mbwa iko miguuni mwake bwana wakati unatembea zako ufukweni kupoteza stress unakutana na vi “Piranha” unaokota na kwenda nao home kujipatia lishe bora😅😅😅Wananchi wenye njaa kali wamejipatia kitoweo, mgaagaa na upwa hali wali mkavu
Maisha ya bongo raha sana, samaki wanakufuata wenyewe kutoka kina kirefu katikati ya bahari 🤣Riziki ya mbwa iko miguuni mwake bwana wakati unatembea zako ufukweni kupoteza stress unakutana na vi “Piranha” unaokota na kwenda nao home kujipatia lishe bora😅😅😅
Eeh bahari imechafuka😅Maisha ya bongo raha sana, samaki wanakufuata wenyewe kutoka kina kirefu katikati ya bahari 🤣
Watu watawala wapate madhara ndio waje na ngonjera kuwa samaki walikuwa na sumuWachukue hata watano wakawafanyie vipimo maabara kabla watu hawajawala
Inasikitisha aiseeWatu watawala wapate madhara ndio waje na ngonjera kuwa samaki walikuwa na sumu
Hapo hamna kitachofanyika wala majibu hakuna hutaskia lolote ndio imetoka hioInasikitisha aisee
Kila kitu wanaweka siasa na mazoea hadi kwenye maisha ya watuHapo hamna kitachofanyika wala majibu hakuna hutaskia lolote ndio imetoka hio
Hii ndio bongoKila kitu wanaweka siasa na mazoea hadi kwenye maisha ya watu
Sure bro. Sihalalishi watu kula vyakula visivyokua salama, ila natambua uwepo wa watanzania wenzetu wenye hali mbaya kiuchumi na njaa kali. Mtu ameshinda njaa siku nzima, na haelewi kama atapata chochote, then anakutana na hao samaki. Unadhani atafikiria mara mbili?Trueee! Tunadharauliana sana hapa nchini yani mtu mwenye nafasi ya kupeleka surplus kwake anamuona mbangaizaji kama hana akili timamu!
Hii kitu sio Hapa Tanzania tu.Sure bro. Sihalalishi watu kula vyakula visivyokua salama, ila natambua uwepo wa watanzania wenzetu wenye hali mbaya kiuchumi na njaa kali. Mtu ameshinda njaa siku nzima, na haelewi kama atapata chochote, then anakutana na hao samaki. Unadhani atafikiria mara mbili?
Kuna watu hawaijui njaa, hao ndio wanatoa kauli za kishujaa humu!