🤣🤣🤣🤣🤣Uongozi wa mama una haraka,wameanza samaki kitakachofuatia ni mikate kudondoka toka mbinguni
Cameraman "Yeye hawezi kuonekana, alikua camera men wa kuripoti tukiolenyewe
Naamini katika mazingira hao ni kwamba wamekufa,
Hivi kweli mtu unakuta samaki kafa mwenyewe unabeba ukalee???
Huku ni kuendekeza njaa kulikopitiliza,
unafika nyumbani na lijibesi lako unajifanya umetoka kununua samaki kumbe umeokotaaa, ukiua familia???
Eti familia imelazwa au imekufa(yote hatuombei yatokee) kisa pelege????
Hali Tete Sana Mpaka Sasa Hivi Haiwezekani Samaki Kufa
Siyo Kwa Idadi Hiyo Mara Moja. Hatari Na Nusu
Hao Wanaozoa Wasile
Sasa waache kumfunga Mbowe na kutafuta namna ya kuzuia Maria Space wahangaike na dagaa ufukweni?Serikal iko kmya subl madhara yajitokeze hapo ndy waanze kutaftana na kuanza kuleta siasa zao ktk maisha ya watu...hii nchi hovyo sana, hapo ilitakiwa pafanyiwe uchunguz wa kina, maana hiyo inaweza kuwa dalili mbaya kwa viumbe wa majini, mybe kuna mapandikiz ya sumu yalitegwa ktk maji na kuperekea maafa ya viumbe hao na pia inawezekana viumbe hao(samaki) wakawa bado na chembechembe za sumu ambazo znaweza kuwadhuru watumiaji,
Tunatakiwa kuwa waangalifu, ulafi utakuja kuwatokea puani....wakumbuke na lile la morogoro, watu walimiminika kuchota wese kumbe kuna balaa likawakuta, na baadae gumzo likazuka kuwa kuna uzembe wa askar kutojitokeza mapema kuzuia labda maisha yasingepotea kias kile.....watz tuache ulaf
Huku nilipo HAKUNA mazingira ya hao samaki kunifikia hata kdg,Hao hata wewe utawala maana wanaenda kuuzwa kwa wapigakura
Sili samaki kwa muda kidogo. Mpaka nisikie ufafanuzi wa hili suala.Kesho tutawala kwa mama Ntilie
Kama kuna watu wanaandaa chakula kichafu ni mama ntilie, kuna siku nilimuona mmoja anaosha vyombo kwa kutumia maji ya mvua yanayotiririka chini.Bongo Bahati Mbaya , kesho mama ntilie watatuuzia na mchuzi.
Kama kuna watu wanaandaa chakula kichafu ni mama ntilie, kuna siku nilimuona mmoja anaosha vyombo kwa kutumia maji ya mvua yanayotiririka chini.
Khaaaa, hili nalo linahitaji mjadala wa kiuchumi?
Yaani unataka uhalalishe Matatizo ya kiafya au hata umauti kwa kigezo cha umaskini?..