babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,281
- 20,837
- Thread starter
-
- #41
Wapo samaki wengine wengi tu wadogodogo, huyo mbasa ni mkubwa wao.Nahisi kuna samaki wapya watakuwa wamepandikizwa na Hawa samaki wa asili wakawa chakula
Sio nyingi kivile kama mdau alivyodokeza hapo juu.Zipo Nyingi mbasa mkuu,?!
Lakini mkuu ukumbuke; Jf ni The Home of Great Thinkers. Sikatai kwamba wababaishaji,na wajanja-wajanja wapo pia humu Jf ila kuwatambua ni ra
Hakuna hata mtu mwenye picha ya huyo Mbasa tumuone?
Beib... maisha yamekua rahisi msweetie wangu... simu 1 tu nipo hapo hofu ya nini tena... btw nimekumiss pia mommyNimekumis hunnie☺️
Wanavutia kweli na wanaonekana ni watamu
Uishi milele msweety☺️Beib... maisha yamekua rahisi msweetie wangu... simu 1 tu nipo hapo hofu ya nini tena... btw nimekumiss pia mommy
Kama nadanganya waambie wewe ukweli wako nikusikie hapaAcha kudanganya watu mkuu.
Mbelele unamchokoza tuu kwenye suala la mifupa labda ungeniambia mbelele kwenye ukubwa wa macho! Namzungumzia mbasa mwenyewee samaki mwenye damu zaidi ya kuku!Samaki Mbasa na mbufu kimaumbile wanakaribiana mfanano na Kambale. Mbelele ndiye anayefanana kwa kiasi fulani na Ningu au Sato. Huyu mbelele ndiye mwenye "Network" ya mifupa ndani ya minofu yake. Mbelele akiokwa (akichomwa) baada ya kuwekewa vile vijiti mdomoni hadi mkiani ili aive amenyooka Utampenda.
Uletwe HapaKama nadanganya waambie wewe ukweli wako nikusikie hapa