babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,935
- 20,229
Ukiwapata niambie mkuu,nimewamisi mbasaa na kawali!Siwaiti wakuu, twende kwenye mada.
Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko.
Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta.
Nilienda mwaka 2016.
Sikukuta kitu,
Wameenda wapi?
Ni samaki tasrte vit vin
somo la tokyo hatukuelewana
Nilienda Tukuyu mwezi wa 8Kumbe ni 3_5ok!Ni samaki watumu sana wanatoka kwa mwaka mara 1 mwezi wa 3-5 TU.(Msimu wao)
KAZI ni kipimo cha utu
Adimu sana hao samaki, soko kuu tukuyu mapema tu nilienda kutafuta soko zima sikupata.Ukiwapata niambie mkuu,nimewamisi mbasaa na kawali!
Huyo anawanunua wote hataki wengine wafaidi!Adimu sana hao samaki, soko kuu tukuyu mapema tu nilienda kutafuta soko zima sikupata.
Ndio mchuuzi akanitonya kwamba huwa wakifika wananunuliwa wote
Wanapatikana Kwa kiasi kidogo Sana.Huyo anawanunua wote hataki wengine wafaidi!
Zamani niliwahi sikia nikiwa huko kwa Bibi, kwamba Raisi wa Malawi wakati huo aliwaagiza watu wa Bandari wa ziwa Nyasa kwamba wawe wanamwaga vyakula vya hotelini ili wakimbilie Malawi!Wanapatikana Kwa kiasi kidogo Sana.
Rahisi kumbe,nakuja Kyela!Kipindi hiki ndio wanaanza. Kufikia mwezi wa 5,6 kipindi cha mpunga kuchanganya ndio nao wanachanganya. Hapo mbasa kilo 7 unampata kwa elfu 15 mpaka 20+
Unapoenda nijulishe nikupe namba ya mtu atakaekupatia Mbasa mzuri toka ziwani. Anakufikia mzima kabisa. Hata ukitaka kuwasafirisha mpaka dar ni rahisi tu. Unaweza kuwaweka kwenye ndoo na jiwe kubwa la barafu. Hata wiki wanakaa. Ni kumwaga tu yale maji ya barafu yaliyojichuja. Au kuweka barafu lingine tu.Rahisi kumbe,nakuja Kyela!
Hapa kuna makosa ya uandishi au ndiyo bei yakeKipindi hiki ndio wanaanza. Kufikia mwezi wa 5,6 kipindi cha mpunga kuchanganya ndio nao wanachanganya. Hapo mbasa kilo 7 unampata kwa elfu 15 mpaka 20+
Ndio bei zake mkuu. Wakichanganya mwezi wa 6 we njoo tu ununue. Wakichangamka sana mpaka 30 hapoHapa kuna makosa ya uandishi au ndiyo bei yake
Kilo 7 elfu 20??
MkuuHakuna hata mtu mwenye picha ya huyo Mbasa tumuone?
PichaSiwaiti wakuu, twende kwenye mada.
Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko.
Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta.
Nilienda mwaka 2016.
Sikukuta kitu,
Wameenda wapi?
Ni samaki tasrte vit vin
somo la tokyo hatukuelewana
Jaribu kuwatembelea wale wavuvi wa mto Ruhuhu ila jihadhari na mamba.Zamani niliwahi sikia nikiwa huko kwa Bibi, kwamba Raisi wa Malawi wakati huo aliwaagiza watu wa Bandari wa ziwa Nyasa kwamba wawe wanamwaga vyakula vya hotelini ili wakimbilie Malawi!