Samaki kutoka Mwanza wasiooza wanawekwa nini?

Samaki kutoka Mwanza wasiooza wanawekwa nini?

Samaki wasiooza siku tatu tena wakiwa nje ya friza...
Mchele wa plastic...
Mayai ya plastic...
Kuku wanaokua ndani ya wiki mbili na kuliwa...
Matunda yanayokuzwa na madawa hatarishi....
Bidhaa za viwandani zisizo na ukaguzi makinifu...

NDUGU ZANGU TWAFAAAAAA.NI MAREHEMU TUNAOTEMBEA ASEEEE.
Nguvu zetu pendwa zikipungua wanalalamika wkt pale pembeni ya magogoni zipo fresh kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna samaki kutoka Mwanza pale Ukonga Mombasa, wanaletwa kwenye viroba na ukiwagusa sio baridi wa kuganda lakini wanakaa hata siku tatu bila kuoza, je samaki hawa wanawekwa nini kuzuia kuoza au ndio zile tetesi wanatumia dawa za hospitali zinazozuia kuoza (Formaline)?
anayejua anijuze
UKWELI HALISI NI HUU:
Formalin ni dawa ambayo ina matumizi mingi sana pamoja na kuuwa bacteria wote, na kuzuia kuzaliana bacteria katika organ yoyote au mahali popote ikiwekwa ikiwa katika michanganyiko sahihi.
KUHUSU SAMAKI, Samaki huwa wanagandishwa kwa muda wa siku kadhaa hadi 8 kwenye majokovu katika negative degrees kabla ya kusafirishwa.
Lakini pia kuna malori ambayo yana chilling machines hivyo wanasafirishwa katika mazingira ya ubaridi hadi kwa consumers( duka la SAMAKI)
Ingawa inawezekana watu wasioaminika wakatumia formalini japo formalini ni expensive kiasi kutoamini katika hilo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jesus Christ, binadamu wamekuwa wauaji kwa kweli mpaka samaki wanawekewa formaline ? Maskini walaji pole kwao.
Kama hujui uliza mkuu.
Nenda mwaloni mwanza, nenda uwanja wa ndege, pale utakuta kuna site kwa ajili ya kugandisha samaki kabla ya kusafirshwa. Wanasafirishwa kwenye magari maalumu hadi dsm na kwingine, na wanafikia kwenye jokofu. Kama huamini, jiulize kwa nini kwenye matatizo ya umeme wauza samaki hulalamika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom