Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,285
- 61,266
mkuu wewe kama mimi aiss..huyo hata mchuzi wake sionji!!Simli huyo mimi
Halafu inaoneka anazingatia sana usafi wa kinywa huyuSimli huyo mimi
Halafu inaoneka anazingatia sana usafi wa kinywa huyu
Anaitwaje, Tafadhali mleta mada nijuze ili nimtafute habari zake
Simli huyo mimi
mkuu wewe kama mimi aiss..huyo hata mchuzi wake sionji!!
mmmh lakini kweli...nisiseme sana!!Acha uongo utamjuaje? Wakati unaletewa na rosti iliyokolea nazi utajat..pika badaae ukiambiwa umekula nini waulize wale jamaa walionda mali wakajisevia mishkaki ya panya buku jinsi ilivyokuwa mitamu kuja kuuliza ni nyama ya nini kilichoendelea ni siri yao.