Wakuu naomba mwenye adress ya Magazeti yafuatayo kwenye NET ,Mwanahalisi,kiu,kulikoni na kama kuna magazeti mengine mimi nipo kijijini,nawatakia wk njema na majibu ya uhakika Asante.
Wakuu naomba mwenye adress ya Magazeti yafuatayo kwenye NET ,Mwanahalisi,kiu,kulikoni na kama kuna magazeti mengine mimi nipo kijijini,nawatakia wk njema na majibu ya uhakika Asante.
Kuna mdau mmoja huwa anapenda kusema fanya www.google.com awe rafiki yako, mimi nime-google tu mwanahalisi na ndio limekuwa la kwanza kwenye results
Wakuu mi nadhani kunahaja ya kuanzisha thread maalumu ya umuhimu wa google na search engine zingine, tena iwekwe stickyTumia search tool mkuu kwavile una mtandao, kama hayo magazeti yana website huwezi kukosa kabisa...