Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
X_INTELLIGENCENimesoma tena sijaelewa
X_INTELLIGENCENimesoma tena sijaelewa
Mcheck huyo yupo Qatar alipigiwa pande humu humu akapaaKumbe bro una roho nzuri hivi ahsante sana bro
Huyu namjua mkuu alichemka akarudi asaivi anapiga bodaboda bolt😂Mcheck huyo yupo Qatar alipigiwa pande humu humu akapaa
FactUtapewa ushauri wa kutosha tu lakini mwisho wa siku wewe ndo utayefanye maamuzi.
Follow your heart bt always remember to carry your brains with you
Yupo wapi na alirudi lini na alichemka nini ilikuaje akarudi? Sasa huyo ndio wa kukupa ABC kuishi kwenye mabanda ya kufugia kuku mchezoHuyu namjua mkuu alichemka akarudi asaivi anapiga bodaboda bolt😂
Katika maisha yako kama kijana mdogo wa miaka 20+ kuwa na ndoto ya siku moja kuwa Bosi, na siyo kibarua (mlinzi/house boy /mfanya usafi) wa Mabosi wengine.Wakuu by age nina 25
Mwaka huu ndio nahitimu shahada yangu ya kwanza kwenye masuala ya maendeleo ya jamii.
Nina Biashara ambayo inauhakika wa kunipa 500k kila mwezi ambayo naweza kuifanya mara baada ya KUMALIZA CHUO.
Hii ni mpango wa kwanza.
Mpango wa pili, nimepata connection ya KAZI ya ulinzi, usafi na ujenzi Katika nchi za UAE kama Qatar Dubai na Kuwait. Hii ni uhakika kwa sababu agent ni ndugu yangu wa damu so uwezekano wa kutapeliwa hakuna.
Sasa naombeni ushauri, niende kutafuta maisha nje, au nikomae na Biashara zangu hapa hapa Tanzania?.
Ushauri ambao mtanipa hapa ndio nitakao ishi nao naombeni msaada!!
Yupo wapi na alirudi lini na alichemka nini ilikuaje akarudi? Sasa huyo ndio wa kukupa ABC kuishi kwenye mabanda ya kufugia kuku mche
Mkuu hizo KAZI inakuwa njia ya kupata mtaji Zaidi wa kufikia malengo au?Katika maisha yako kama kijana mdogo wa miaka 20+ kuwa na ndoto ya siku moja kuwa Bosi, na siyo kibarua (mlinzi/house boy /mfanya usafi) wa Mabosi wengine.
Sijui umenielewa!!!
Huyu alivoenda kule akawa anafanya KAZI za online kuagiza bidhaa nakumbuka Kuna Uzi aliandika maisha yamemshindaYupo wapi na alirudi lini na alichemka nini ilikuaje akarudi? Sasa huyo ndio wa kukupa ABC kuishi kwenye mabanda ya kufugia kuku mchezo
Yeah. Kupanga ni kuchagua.Mkuu hizo KAZI inakuwa njia ya kupata mtaji Zaidi wa kufikia malengo au?
Sawa nashukuru sana mkuuUAE kuwa mlinzi?
Be serious bwana, Fanya biashara acha kukurupuka. Biashara inakuwa haswa ukikaa mwenyewe bila kuwa na mambo mengi.
Bado sijakuelewaNdoto inayotimia ni moja tuu
Sasa mkuu kama utakuwa mlinzi UAE na utalipwa 1.5m Kuna shida Gani?UAE kuwa mlinzi?
Be serious bwana, Fanya biashara acha kukurupuka. Biashara inakuwa haswa ukikaa mwenyewe bila kuwa na mambo mengi.
1.5 unaiona kubwa?Sasa mkuu kama utakuwa mlinzi UAE na utalipwa 1.5m Kuna shida Gani?
Kumbuka kuna makato unaweza cheza kwenye m au 900k baada ya makato,sasa si bora ukomae na biashara tuSasa mkuu kama utakuwa mlinzi UAE na utalipwa 1.5m Kuna shida Gani?
Hapana1.5 unaiona kubwa?
Mishahara inalipwa kutokana na nchi yenyewe lakini daily expenses na gaharama za maisha unakuta ni kubwa hivyo utajikuta Kama unalipwa 300,000 kwa mwezi.
Maliza shule kwanza ,pili komaa na biashara yakoo.Wakuu by age nina 25