Samahani: Njooni mnishauri kwa makini...

Samahani: Njooni mnishauri kwa makini...

Hu
Mkuu naomba nikujibu
Kwenda ulaya inahitajika mtaji mkubwa sio chini ya 4m ila kwenda Dubai hata 2m unaweza kwenda.

Kuhusu manyanyaso sijajua ni kazi Gani isio na changamoto

Kuhusu kulipwa laki Tano hapana
Ulinzi Kuwait 1.8m
Usafi Qatar 700k
Usafi Dubai 700k
Ujenzi Dubai 800k

Sasa iyo laki Tano ndio nasikia hapa mkuu naomba toa ufafanuzi zaidi
Hujatoa bills zingine enewei mi nawajuwa watu wengi wanaofanya kazi uko , mkuu maisha ni kuchaguwa muda uliopoteza chuo ungeenda poteza uko kuwait, kila kitu fanya kwa malengo kila mahali pesa zipo ila upatikanaji wake ndo kipengele
 
Mkuu USD 2000 hiyo kazi nani anakupa mkuu tena unskilled??
Hapo bado wakala hajakata kamisheni angepata mkataba akaupitia kabisa ajuwe anaenda kukutana na kipi. Unaweza enda ukajuta unajuwa
 
Mkuu USD 2000 hiyo kazi nani anakupa mkuu tena unskilled??
Tatizo maisha kwa wenzetu yapo juu sana
Mfano; Ukiwa Marekani ukalipwa $2000 ni sawa pengine na mtu hapa bongo anayelipwa shs laki 5
Inategemea na Mji ila unaweza kupanga nyumba ya dola 500 hivi, wakati hapa Bongo unaipata kwa shs laki moja
 
Back
Top Bottom