Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
- Thread starter
- #21
Namaliza next week broKula book kwnz homie
Fail to plan is a planning to fail
Namaliza next week broKula book kwnz homie
ndege JOHN njoo umpe madini huyu ndugu huku asije akaenda kujibanza kwenye mabanda ya kuku huko QatarNimepata jibu kimazingira nk Naona nje ni Sahihi
😂😂😂ndege JOHN njoo umpe madini huyu ndugu huku asije akaenda kujibanza kwenye mabanda ya kuku huko Qatar
Hiyo biashara mkuu nimewai kuifanya ila voice within Naona kwenda nje ni best option ndio maana nimeshare ili kupata experience kwenu wataalamuHiyo biashara ushawahi kuifanya au umesimuliwa kwamba return yake kwa mwezi ni 500k.
Ndani ya nafsi yako wewe unatamani nini kati ya hivyo? Unachojisikia ile voice from within.....fata hicho.
Nenda nje kama ndani yako wajisikia hivyo, kajichange upate mtaji....kisha utarudi kufanya hiyo biasharaHiyo biashara mkuu nimewai kuifanya ila voice within Naona kwenda nje ni best option ndio maana nimeshare ili kupata experience kwenu wataalamu
Nashukuru sana mkuu kwa hekima na busara zako katika hiliNenda nje kama ndani yako wajisikia hivyo, kajichange upate mtaji....kisha utarudi kufanya hiyo biashara
Naifanya mpaka Sasa bossBiashara hiyo umewahi ifanya ama ndio unaifanya mpaka sasa?
Huu ni ukweli mkuuHakuna kitu kibaya kama kukosa maamuzi ,juwa lengo lako ktk haya maisha unaitaji nini, pesa tu pesa na freedom, yani ukafanye ulinzi kisa uarabuni sasa si angekuunganisha ujaanza chuo, najuwa lengo lako ni kwamba unaenda kusave kumbuka uarabuni utaingia mkataba hutoruhusiwa kufanya chochote nje ya mkataba bora uende ulaya.,
Biashara ungeipa priority kama ipo legit na uhakika kiasi chake utapata pesa na freedom kwasababu iyo iyo 500k ndo unaenda lipwa uarabuni kwa manyanyaso
Mkuu naomba nikujibuHakuna kitu kibaya kama kukosa maamuzi ,juwa lengo lako ktk haya maisha unaitaji nini, pesa tu pesa na freedom, yani ukafanye ulinzi kisa uarabuni sasa si angekuunganisha ujaanza chuo, najuwa lengo lako ni kwamba unaenda kusave kumbuka uarabuni utaingia mkataba hutoruhusiwa kufanya chochote nje ya mkataba bora uende ulaya.,
Biashara ungeipa priority kama ipo legit na uhakika kiasi chake utapata pesa na freedom kwasababu iyo iyo 500k ndo unaenda lipwa uarabuni kwa manyanyaso
IDDY hajarudi sasa hivi kawa mjanja mjanja anauza accessories kutoka QatarNashukuru sana mkuu kwa hekima na busara zako katika hili
SijaelewaIDDY hajarudi sasa hivi kawa mjanja mjanja anauza accessories kutoka Qatar
Soma tenaSijaelewa
Nimesoma tena sijaelewaSoma tena
Huyu hapa alienda Qatar mcheck mnaweza mkabadirishana namba huko kwa msaada zaidiNimesoma tena sijaelewa
Kumbe bro una roho nzuri hivi ahsante sana broHuyu hapa alienda Qatar mcheck mnaweza mkabadirishana namba huko kwa msaada zaidi
![]()
Natafuta Duka La Dawa Linalouzwa
Habari wana JF, Natafuta duka la dawa linalo uzwa Ambalo lina kila kitu. Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara. Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe. Mawasiliano;0757915171www.jamiiforums.com