Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
- Thread starter
- #21
hahahahahahahahahaha Jrmiss u honey!
bora umweleze mapema
kabisa maana huyu mgeni
anaonekana mjanja mjanja sana!!!!!
love uuuu!!!!
hahahahahahahahahaha Jrmiss u honey!
bora umweleze mapema
kabisa maana huyu mgeni
anaonekana mjanja mjanja sana!!!!!
love uuuu!!!!
Karibu sana mkuu Teja Junior lakini tafadhali kama unapenda kucha+macho+meno yako usizungumze na my Passion Lady!
Karibu sana
Na mpango wa kufanya fitna upigwe chini Jrhalo ya teja!
umefrahi mimi kumlove
my love Ruttashobolwa?!!au??
Na mpango wa kufanya fitna upigwe chini Jr
Nitajitahidi mkubwa ila Asante Jr
Kijana labda kama unampango wa kurudi kwenu somalia! Muache kabisa my Passion Lady!
Naiwe asante kweli maana wewe hautofika south!
Na mpango wa kufanya fitna upigwe chini Jr
Mambo Passion Lady!
duuuh! humu sipawezi ngoja niende jukwaa la siasa!hahaaa!tell him honey!love u!!!!
duuuh! humu sipawezi ngoja niende jukwaa la siasa!
soon utampiga chini mwenyewe yanini mate wakati wino upo Jrhalafu nikishapigwa chini?
wenzio wamegonga mwamba
sasa we mgeni naona hujipendi!
endelea mi sisemi!
soon utampiga chini mwenyewe yanini mate wakati wino upo Jr