Samahani kwa picha hizi sio nzuri, Tumuonee huruma

Samahani kwa picha hizi sio nzuri, Tumuonee huruma

Aise. Pole sana dada.
Ritz tupelekee hili kwa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Binti Mwanaidi Vuai Salehe amelazwa ktk Hospitali ya jeshi Bububu Zanzibar kwa miezi minne sasa anauguza majeraha ya ajali ya moto.
Hali yake inazidi kua mbaya na anahitajika Tsh Milion 15 aweze kupelekwa India.

attachment.php


Kama uko tayari kumsaidia
A/c 051206007686 PBZ-Malindi.
0773599466-mama yake mzazi-kwa mawasiliano tu.
KUCHANGIA.
TUMA kwa Tigopesa 0715424152-Mwandishi wa habari gazeti la Zanzibar Leo(Othman Maulidi
Ni binti mwenye miaka 26 tuungane kumsaidia.

UPDATES:
Leo jioni Mwanaidi amehamishiwa ktk hospitali ya Mnazi mmoja. Zanzibar
serikali ya ccm ilipaswa kuangalia mambo haya na si kufanya siasa za msiba wa mama Zitto na tuhuma za Gwajima
Kikwete angalia watu wanakufa huku wizi wa Tsh200bls unakula
 
serikali ya ccm ilipaswa kuangalia mambo haya na si kufanya siasa za msiba wa mama Zitto na tuhuma za Gwajima
Kikwete angalia watu wanakufa huku wizi wa Tsh200bls unakula
Hee..! kwani jk alihusika.., si ni muhongo tu na yule singa singa au..
 
Dah hizi picha zinatia huzuni sana....pole sana mwanaidi mungu yupo na anakuona dada yangu na ataonyesha kwako kama yupo.
 
Tayari tumeanza harakati za kuwasiliana na Muniri Zakaria(Chanel ten-Zanzibar)
Leo ataenda kumpiga picha kama mambo yataenda vizuri taarifa inaweza kutoka leo jioni au kesho.
 
Tayari tumeanza harakati za kuwasiliana na Muniri Zakaria(Chanel ten-Zanzibar)
Leo ataenda kumpiga picha kama mambo yataenda vizuri taarifa inaweza kutoka leo jioni au kesho.
Hilo ni jambo la msingi sana..!
 
TAARIFA YA MICHANGO:
Mpaka kufikia jioni ya leo tarehe 10 June 2014,
kiasi kilichopatikana ni Tsh 1,900,000/=(milion moja na laki tisa).
Bado tunaendelea na michango.
Pia tunawashkuru wote mliojitolea,
Mwenyezimungu atawalipa kwa wema wenu.
 
allah amempa mtihani.
tunakuomba allah (sw) mfanyie wepesi mjawako ktk mtihani huu.
 
Back
Top Bottom