Ngoja namrushia tu.., asipofikisha kivyake coz laana itamfuata.., jina limekuja Othman maulid.., i hope ndo yeye.., tutume chochote tulichonacho jamani.., hata buku itasaidia coz si tupo wengi..
(Update: Amenipigia kwamba kaipata na ataifikisha)
pole sana nitatoa elf3. Tupo weng hum tujitahd kuchanga
Jesus Christ!!!
Binti Mwanaidi Vuai Salehe amelazwa ktk Hospitali ya jeshi Bububu Zanzibar kwa miezi minne sasa anauguza majeraha ya ajali ya moto.
Hali yake inazidi kua mbaya na anahitajika Tsh Milion 15 aweze kupelekwa India.
Kama uko tayari kumsaidia
A/c 051206007686 PBZ-Malindi.
0773599466-mama yake mzazi
Ni binti mwenye miaka 26 tuungane kumsaidia.
Tunaomba na Namba ya Voda mkuu
Tushikane mikono jamani.., tupo wengi sana humu..!Aisee nimeguswa sana na hali ya huyu dada, pole sana na mungu atakusaidia kupona haraka iwezekanavyo. Ngoja nami nijipigepige nilichonacho.
Tushikane mikono jamani.., tupo wengi sana humu..!
Mungu wangu!!!Binti Mwanaidi Vuai Salehe amelazwa ktk Hospitali ya jeshi Bububu Zanzibar kwa miezi minne sasa anauguza majeraha ya ajali ya moto.
Hali yake inazidi kua mbaya na anahitajika Tsh Milion 15 aweze kupelekwa India.
Kama uko tayari kumsaidia
A/c 051206007686 PBZ-Malindi.
0773599466-mama yake mzazi
Ni binti mwenye miaka 26 tuungane kumsaidia.
Mkuu SPANISH CP namba hiyo ya mzazi wa huyo binti mbona haiko kwenye service?Binti Mwanaidi Vuai Salehe amelazwa ktk Hospitali ya jeshi Bububu Zanzibar kwa miezi minne sasa anauguza majeraha ya ajali ya moto.
Hali yake inazidi kua mbaya na anahitajika Tsh Milion 15 aweze kupelekwa India.
Kama uko tayari kumsaidia
A/c 051206007686 PBZ-Malindi.
0773599466-mama yake mzazi
Ni binti mwenye miaka 26 tuungane kumsaidia.
SPANISH CP hana namba ya Tigo.., kuna vijisenti nataka nitume kidogo daaaa!
Mungu wangu!!!
Pamoja na utani wangu wa asili na wazenji , mimi, Mtanganyika nimeguswa sana na hili.
Namtumia mama kwa Mpesa Tshs 40,000/=
Mungu awe nanyi!
Ngoja namrushia tu.., asipofikisha kivyake coz laana itamfuata.., jina limekuja Othman maulid.., i hope ndo yeye.., tutume chochote tulichonacho jamani.., hata buku itasaidia coz si tupo wengi..
(Update: Amenipigia kwamba kaipata na ataifikisha)
Mkuu SPANISH CP namba hiyo ya mzazi wa huyo binti mbona haiko kwenye service?
Nimetuma hiyo pesa kwa namba hiyo lakini najibiwa"its not in service".
Matokeo yake hela itarudishwa kwangu.
Check it out.