Samahani kwa picha hizi sio nzuri, Tumuonee huruma

Samahani kwa picha hizi sio nzuri, Tumuonee huruma

Mwanaidi kaondoka Zanzibar tarehe 15/7/2014 kuelekea India kwa matibabu zaidi.

Kandoka kwa ndege ya Oman Air.
 
Mwanaidi akiwa airport ZANZIBAR kwa ajili ya safari ya India. ImageUploadedByJamiiForums1405455111.233081.jpgImageUploadedByJamiiForums1405455130.637922.jpgImageUploadedByJamiiForums1405455141.291020.jpg
 
samahanini lakin hii picha inafanana na yayule mvulana wa RUCO aliyechomwa moto plz sina nia mbaya

Uyo mvulana wa Ruco alikua anaitwa Lema na Mungu alishamchukua mja wake mauti yalimkuta hapa Iringa ila mwili wake ukasafirishwa kwenda Moshi ashapumzishwa binafsi niliumia kuona hii picha ikitumika kwa mtu mwingine btw Marehemu alikua mtu nnaemfahau hata kabla ya mauti kumkuta nilienda kumuona pale hosp.
Mungu asimamie matibabu ya huyu binti apone haraka InshaAllah.
Cc SPANISH CP
 
Last edited by a moderator:
La haula wala quwatta ila bi Llahi laaliyu laadhyim.

Mwenyeezi Mungu atamuafu.
 
Shukran kwa wote waliochangia, Mola Awalipe! Pia mleta thread hii! Tumiombee uzima dada yetu Nwanaidi!
 
TAARIFA.leo trh 17july 2014.
Tunashkuru Mwanaidi Na Mama yake wamefika salama India na wamepokelewa tayari kwa kuonana na madaktari.

KUHUSU MICHANGO.
Kuna members wameniuliza vipi tunaendelea kuchangia ama tumesitisha?
Binafsi nasema hivi kwakua lengo lilikua ni kufanikisha kupata milion 15 za kugharamia safari na matibabu huko India Tunashkuru lengo limefanikiwa.

Kwahiyo kama kutakua kuna mtu atakua willing kuendelea kumchangia sisi tutakipokea na tutamkabidhi muhusika Mwenyezimungu akimrudisha salama.
 
Hivi kwanini tukiugua lazima tusafirishwe?waziri wa afya ana kazi gani?
 
TAARIFA; Leo tarehe 20july 2014.
Ndugu wanajamii mpaka kufiki leo tunashkuru Mwanaidi Anaendelea vizuri na matibabu huko India.
Juzi Tarehe 18 Amefanyiwa operation ya kwanza na imefanikiwa anaendelea vizuri.
 
Baadhi ya picha Mwanaidi akiwa hospitali India
 

Attachments

  • MWAN india.jpg
    MWAN india.jpg
    64.3 KB · Views: 297
  • Mwan Ind2.jpg
    Mwan Ind2.jpg
    31.1 KB · Views: 281
TAARIFA; Leo tarehe 22july 2014.
Ndugu wanajamii mpaka kufiki leo tunashkuru Mwanaidi Anaendelea vizuri na matibabu huko India.
Juzi Tarehe 20 Amefanyiwa operation ya kwanza na imefanikiwa anaendelea vizuri.

Mkuu umeandika post hii ukiwa Nchi gani?. Poleni. mia
 
TAARIFA: Leo trh 09 Aug 2014.
Dada yetu Mwanaidi Amerejea kutoka India alikokua anapatiwa matibabu ya majeraha ya moto.
HALI YAKE KWA SASA:
Kwakweli tunamshukuru Mwenyezimungu baada ya operation kadhaa kwa sasa hali yake inaendelea vyema kwa kiasi kikubwa.
Alipo ni Mnazi Mmoja hospital yupo katika uangalizi wa daktari kwa muda kabla ya kuruhusiwa kwenda nyumbani.
Nimeongea na mama yake Mzazi anawashkuru woote kwa ushirikiano wenu wa kufanikisha safari hii na Mwenyezimungu atawailipa.

Nb: ikiwezakana kesho nitaweka picha
 
Back
Top Bottom