Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,921
- 38,248
Jesus Christ!!!
Bwana wa Majeshi
Jesus Christ!!!
Ahsante mkuu kwa kuguswa na jambo hili.
Ni vizuri kama utatumia hiyo namba ya tigopesa maana mwishoe tutakuja kutoa majumuisha tujue kiasi gani kimepatikana.
Lohloh marufuku kutuletea namba za nje ya nzazi wake wapendwa kuna mtu anaitwa thajuki huyu watu walitengeneza full mabanda ya ngombe mbuzi mpaka kaka na wakajitahidikutangaza kweli angalizo tu
Rip thajuki
Binti Mwanaidi Vuai Salehe amelazwa ktk Hospitali ya jeshi Bububu Zanzibar kwa miezi minne sasa anauguza majeraha ya ajali ya moto.
Hali yake inazidi kua mbaya na anahitajika Tsh Milion 15 aweze kupelekwa India.
![]()
Kama uko tayari kumsaidia
A/c 051206007686 PBZ-Malindi.
0773599466-mama yake mzazi
Ni binti mwenye miaka 26 tuungane kumsaidia.
Wazo zuri sana..!Mkuu hebu rusheni na TVZ ,ITV au Channel 10 maana jamiiforums wanaoweza kui-access ni wachache sana. Ita waandishi wa habari mkuu.
Amen mkuu sikuwanania mbay a bbali angalizo zimfikie mhusika
Tushikane mikono jamani.., tupo wengi sana humu..!
Hivi unajua ulichoandika lakini.... my signature haina uhusiano wowote na huyo mdada, mbona naitumia muda mrefu kabla ya tukio hilo? itakuwa umeiona leoPrice, sisawa ulichoondika hapa. Kwahiyo msaada wako wewe ni kutegemea na likes 100,000 ukipata? Kwa mwanamke sikutegemea hivi. Uwe na huruma, tenda wema uende zako, sio kuetegemea shukurani.
Usingehusisha swala la likes na msaada wako kwa huyo mhanga.