Samadu Hassan Maduhu

Samadu Hassan Maduhu

Anaitwa Samadu Hassan na siyo Samadu Hassan Maduhu. Maduhu alikuwa kama si mwandaaji basi mhariri wa vipindi RFA.
Umenena, hata mimi Samadu Hassan namkubali sana, nadhani kwa habari za kimataifa anashikilia usukani kwa tz kwa mujibu wa maoni yangu.
Sir name yake ni maduhu
 
Nakupenda Saana Samadu, Mungu Akupe Maisha Marefu, Wewe Ni Kati Ya Tembo Wachache Tuwaonao Kati Ya Wale Walio Toweka, Ni Mbadala Haswaaaa Wa Wale Wazee Walokuwa Na Sauti Taaaamu Wa RTD
 
Zaid nachopenda kwake ni vile anavyopanga maneno na matukio vinarandana swadakta... Amin huyu mzee ni anaipenda fani yake sanaa... Long Live Mzee Samadu
 
duh!! hili zee kama magolikipa wa soka, kadri umri unavyokwenda ndio wanavyozidi kuwa bora zaidi. Good job babu!! keep up!
 
Naomba kuuliza je huyu Samadu Hassani ana undugu na yule Marena Hassan wa TBC??
 
Sir name yake ni maduhu

Vilevile anaitwa Pangu Pakavu Nitilie Mchuzi, Binafsi nampenda sana hasa katika habari za kimataifa na kipindi cha anga za za kimataifa anaeleweka vizuri sana na anapresent in a very detailed manner mtazamaji unabaki huna maswali tofauti na station zingine wana bp habari hongera sana Mzee Maduhu
 
Samadu Hassan huyu ni mkongwe kwenye
fani ya Utangazaji pia ameanza mbali sana
tangu RTD,Redio One,DW Swahili,RFA.

Ni hazina hii japo utashangaa sana vichwa
hivi havithaminiwi hapa nyumbani kama
ulivyoona kwa Dastan Tido Mhando.
Mkuu, kuanzia mbali si hoja kwani hata mheshimiwa Juma Nkamia kaanzia mbali. Hapa sifa moja ya huyu mzee ni kujituma na kuelewa nini anachokifanya kwa nani anayempelekea. Hebu sikiliza tangazo lao la king'amuzi anavofafanua utapenda na hii niliisha itupia humu JF.
 
sijawahi kumsikia mtangazaji ndani na nje ya nchi mwenye mbwembwe na umahiri wa hali ya juu kama Samadu Hassan. Ningekuwa na tuzo ningempa aisee. Halafu anajua kiswahili kuliko BAKITA
 
Mzee Samadu yupo sawa sana, siyo akina Mukhsin Mambo, Benard James, Hemed Kivuyo, Salum Mkambala etc.

Samadu Hassan ni level nyingine.

...wewe utakuwa unapenda ligi, aliyemzungumzia wala hajataka kumlinganisha na hao vijana, imekuaje wewe.
 
Samadu Hassan aliishi Kenya miaka mingi. Akiwa huko alikuwa akitayarisha vipindi vya biashara na matangazo ya biashara. Watangazaji wengine Watanzania waliowahi kufanya kazi Kenya ni Tido Mhando na marehemu Said Omari Kassongo.
 
Mzee Samadu yupo sawa sana, siyo akina Mukhsin Mambo, Benard James, Hemed Kivuyo, Salum Mkambala etc.

Samadu Hassan ni level nyingine.

Hivi Chanel 10 hawana ethics za kazi? Leo katika taarifa ya habari saa mbili asubuhi, alikuwa anaonyesha bangili sijui ya dhahabu ile au vipi! Overdressing siyo ishu, jaribuni kuwafikiria na walaji, badala ya kwenda kusoma news, mtangazaji anafikiria atakavyoenda kuosha kwenye screen.
 
Hivi Chanel 10 hawana ethics za kazi? Leo katika taarifa ya habari saa mbili asubuhi, alikuwa anaonyesha bangili sijui ya dhahabu ile au vipi! Overdressing siyo ishu, jaribuni kuwafikiria na walaji, badala ya kwenda kusoma news, mtangazaji anafikiria atakavyoenda kuosha kwenye screen.

Wenyewe wanaita kuuza Nyago,,,!
 
nilijua namkubali peke yangu kumbe tupo wengi
 
Back
Top Bottom