Sam Maela anastahili African Journalist Award 2013?

Sam Maela anastahili African Journalist Award 2013?

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
661
wana jf kwa mambo na jitihada alizo zifanya sam maela na jinsi anavyo zidi kupambana na kufuatilia habari za kusisimua kwenye jamii kwa upande wangu juu ya maoni yangu alistahili kupigiwa kura na watanzania.
Je ww unaona nani anafaa toa maoni yako juu.
 
Amekutuma umfanyie kampeni?? Au ni wewe mwenyewe Mahela umeingia kisengerenyuma kwenye mtandao huu!!
 
Amekutuma umfanyie kampeni?? Au ni wewe mwenyewe Mahela umeingia kisengerenyuma kwenye mtandao huu!!
Hapana ndugu ni maoni yangu pia nikataka na wewe uamue nani anafaa.
 
sam mahera anastahili alimsaidia sana yule mama aliyekuwa kavimba mguu na kukata tamaa ya maisha , alisaidia akapelekwa india na sasa mama yu mzima wa afya, mungu amjalie kijana sama afya njema na baraka zake.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
sam mahera anastahili alimsaidia sana yule mama aliyekuwa kavimba mguu na kukata tamaa ya maisha , alisaidia akapelekwa india na sasa mama yu mzima wa afya, mungu amjalie kijana sama afya njema na baraka zake.

upo sahihi papaaa kitalekwa
 
wana jf kwa mambo na jitihada alizo zifanya sam maela na jinsi anavyo zidi kupambana na kufuatilia habari za kusisimua kwenye jamii kwa upande wangu juu ya maoni yangu alistahili kupigiwa kura na watanzania.Je ww unaona nani anafaa toa maoni yako juu.
asije kupotezwa tu maana siku hizi bongo usiongee ovyo utaumbuka.. #heriyaijumaakuu
 
Ufoo Saro mm ndio naona anafaa
Kama wataangalia vigezo vya kuchangishia wagonjwa na kupata misaada basi na Ufoo Saro naye ataanza na hakika hatakosa kupata wagonjwa.
Mimi naona tuwaachie Majaji wao wana vigezo vyao na jumla ya habari walizozitoa kwa jamii
 
Ha ha ha tunapenda yeyote kati ya sam au ufoo saro wote wapambanaji.
 
Back
Top Bottom