Sam Ma(h)ela wa ITV

Kwa heshima na taadhima "USICHANGANYE NGANO NA MAGUGU"
% Kubwa yetu tu "MASHUKE SAFI" unaonaje kwa kunitendea haki mimi as a MALE na wenzangu wote wa Jf , (kabla hawajakushukia) within 6 hrs ahead ukatuomba RADHI, Kuzingatia kauli yako ya kutosema "BAADHI YAO!" umetu'combine kwa jumla wetu "WANAUME WA SASA"
viashario kua "SISI WANAUME WA SASA SI RIZIKI"
MATUSI MAKUBWA SANA HAYO BINTI .

Nilikuwa mbioni kumkoromea huyo dada kwa kauli yake, bora umemwahisha kabla hajapoa atutake radhi mapema.
 
nahisi aanzishe uzi wake fasta kututaka radhi...kabla sijaifanya vita...
haya na ww nenda kwenye lecture!
 
nikiripoti kutoka katika chumba cha maiti hapa hospitali ya taifa ya muhimbili......mimi ni sam ma(h)ela wa itv...

Tangu alipoipiga hiyo kipindi cha mgomo wa madaktari, nikajua huyu jamaa ana mbwembwe.
 
....IMO, naamini bila mbwembwe na usanii, fani hii ya media itakosa mvuto kwa watizamaji au wasikilizaji wake.
sie wa 47 tunakumbuka utangazaji wa mbwembwe mfano; Ben Kiko, Uncle "J" Nyaisanga, Mzee wa Charanga aka Charles 'Chalzzzzzz' Hillary, nk ....na hata mbwembwe za kina Marlin Hassan Tvz, john Ngahyoma, etc...

Kuna watangazaji wengene " boring" mpaka kipindi kinakosa mvuto. Acheni jamaa 'apandishe' jina bana...historia itamkumbuka kwa mbwembwe hizi.
 
Jamani hayo ni majungu masela acheni usenge hizo nitabia za kike, fanyeni kazi zenu acheni mafanikio ya watu wengine yaonekane... Pumba.... Vu kabisa.
 
hapa napata harufu ya DAMU!..
 
....IMO, naamini bila mbwembwe na usanii, fani hii ya media itakosa mvuto kwa watizamaji au wasikilizaji wake.
sie wa 47 tunakumbuka utangazaji wa mbwembwe mfano; Ben Kiko, Uncle "J" Nyaisanga, Mzee wa Charanga aka Charles 'Chalzzzzzz' Hillary, nk ....na hata mbwembwe za kina Marlin Hassan Tvz, john Ngahyoma, etc...

Kuna watangazaji wengene " boring" mpaka kipindi kinakosa mvuto. Acheni jamaa 'apandishe' jina bana...historia itamkumbuka kwa mbwembwe hizi.

Unajua bana mbu mbwembwe za redioni na za kwenye tv lazima ziwe na utofauti.. Kama unajua unaonekana mbele za watu basi angalau weka mbwembwe ambazo hazitakuwa irritating! Sam mahela unakuta anatangaza issue ambayo ni muhimu then anaweka hizo pozi zisizo za lazima.. Anakuwa kama ana act vile..
 
Sikweli kabisaaa jamaa ni mlokole na kiwembe kwa wadada kweli kweli..si kweli mtoto wa kike kusema umbea bila evidence..

Una uhakika gani?

Unaishi naye mtaa mmoja?
Ni nduguyo?
Unasali naye?
Ama mwandishi wa habari mwenzake? ofisi moja?

Kifupi ni kwamba si ajabu,na inawezekana kabisa hilo kutokea!
 
Unajua bana mbu mbwembwe za redioni na za kwenye tv lazima ziwe na utofauti.. Kama unajua unaonekana mbele za watu basi angalau weka mbwembwe ambazo hazitakuwa irritating! Sam mahela unakuta anatangaza issue ambayo ni muhimu then anaweka hizo pozi zisizo za lazima.. Anakuwa kama ana act vile..

...word! hiyo 'irritational' factor ndio kigezo kinachowashika watazamaji kwa sasa, lakini mtapomzowea mtajionea kawaida, na hata akiacha kuonekana kwenye luninga, still mtakuwa mnamkumbukia...

Utangazaji kwenye Luninga, hususan waeleza matukio mfano kina Reinfred Masako, John Maratu na huyu bwana ..kwa mbwembwe za sauti zao, na hata muonekano wao wamejitengenezea 'character' na fan base ambayo thru their story telling+passion wanafanikiwa ku catch attention ya watu...

it's all about psychology (na tabia watu)
 
Kwa hiyo unachosema ni kwamba watu wanazifurahia hizo mbwembwe?

Mimi binafsi sizifurahii hata kidogo. Zinakera sana. Wewe unazifurahia?
 
Back
Top Bottom