Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Naam nimezaliwa kijiji cha SAMVULA CHOLE (wilaya ya Kisarawe) na shule ya msingi nimesomea kijiji cha KIBUTA wakati sekondari nimesomea PUGU...nimeenda JKT Ruvu lakini kutokana na sabau za kiafya ilibidi nisimalize. Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni afisa kilimo kule Mafia lakini baadae nikapata kazi shirika la reli Dar,

Leo hii nipo na bado sijalipwa mafao yangu. Kwa sasa naishi Vingunguti Kiembe Mbuzi na nimeoa Bagamoyo kuleee Mangesani kwa Shaa Budu

sasa Shy hebu tueleze na wewe wa wapi?
 
Kama JENERALI alikuwa si MTANZANIA what makes you think huyu SALVA ambaye walikuwa maswahiba atakuwa MTANZANIA?

In short the Jury is still out on SALVA

Hii argument mboa ya ajabu? Kwa hiyo tupie uraia JK kwa kuangalia uswahiba wake na Rostam? Jamani, jamani! Unawaweka wapi akina Mbwambo, Shoo na Kanuwa? Urafiki na uraia vimekutana wapi? Mh! haya!
 
Teh teh teh .............................ndio uzuri wa JF hapa hapa utoe vithibiti vyako sio kolokolo za hapa na pale.

Shy usichukue muda kutoa tathmini zako maana tunahesabu dakika, Jury iko hapa hapa.
 
Monday, February 12, 2001
-----------------------------------------------------------------
Shock as Tanzania Acts Against 'Aliens'
A JOINT REPORT
THE EASTAFRICAN

THE GOVERNMENT crackdown on "aliens" signalled by the declaration of four prominent personalities in Tanzanian politics as "non-citizens" has sent shock waves through the country's border regions, where thousands of people of foreign origin could face deportation.

Estimates put the number of "aliens" at well over 30,000, most of whom live in Kagera, Kigoma and Rukwa in western Tanzania and Ruvuma and Mtwara in the south, as well as in Dar es Salaam and Zanzibar. Many have intermarried with Tanzanians, and are accepted as citizens by local people.

Refugees have been migrating into Tanzania almost continuously since the first wave that fled ethnic killing in the Central African states of Burundi and Rwanda some 50 years ago. Some of them lives in refugee camps but others intermingled with Tanzanians in villages along the borders.

Asked about the crackdown, the spokesman of the Directorate of Immigration, Mr Herbert Chilambo, told The EastAfrican: "The government is not ready to comment on the issue at the moment." However, a senior government sourcein Dar es Salaam confirmed, "This is just the beginning. The crackdown will continue to net all non-citizens and remove those found to be in sensitive civil service positions. We have names that we are following up on," he added without revealing any.
.....

Tukiendelea hivi wengi "fagio la chuma litatukumba", mie na jamaa zangu kina Bro Zitto tulotokea mikoa ya mpakani hatuchelewi kufungashiwa virago!

yetu macho!
 
Mimi Nimesaliwa Kilimanjaro Wilaya Ya Old Moshi Sehemu Inaitwa Shia

Kwa Muda Nimeishi Nairobi , Morogoro , Arusha Na Tanzania

Ndio Hivyo
 
bado nasubiri Shy autuelezeee Utanzania wake mimi tayari nishamfahamisha

I am sure SALVA lazima atakuwa na SKELETONS kwenye CLOSET yake na hii ni fursa nzuri kujua hayo

je alikuwa Pro war au Anti war?
 
Nimegundua baadhi ya watu hapa JF wana mawazo ya kijinga na wanayaendekeza kiasi cha kutaka kuyapandikiza kwa wenzao. Ile dhambi ambayo JK na wenzake walimfanyia Dk. Salim ili asigombee urais ndiyo baadhi ya wana JF wanafanya sasa kwa staili nyingine, na kutufanya sote hapa tuonekana ovyo na wapenda majungu. Sawa kuuliza siyo ujinga, lakini mnauliza kama Salva ni raia, hamuulizi kama nyie wenyewe ni raia!

Mbona hamuulizi kama rais wetu mwenyewe (JK) ni raia? Kwani uraia ni kitu gani, ambaco hata weusi sasa wanakipata Ujerumani na Poland? Swali la msingi hapa lingekuwa kama Salva ni mzalendo. Haya mengine yote ni upuuzi, kwa sababu hakuna aliyevhagua kuzaliwa na nani, wapi na wakati gani. Hata hivyo uzalendio ni suala la choice; ndiyo maana badhi yetu tulimuona mtu kama Ulimwengu kuwa bora mara mia kuliko baadhi ya hawa watawala wetu na waliopita wanaoteketeza mali zetu. Baadaye tumekuja kujua kwamba hata suala la uraia wa Ulimwengu lilipikwa na wanamtandao wakalipenyeza kwa Mkapa, akatake action bila kujua, kwa sababu walikuwa na malengo ya urais, na walimwogopa Ulimwengu, Warioba na Salim.

Kama ningepaswa kuchagua kati ya Ulimwengu na Kikwete nani awe rais ningesema Ulimwengu kwa sababu ni mzalendo na intelligent kuliko huyu nakundi lake la wanyakuzi! Naanza kukasirika sasa...
 
Mimi Nimesaliwa Kilimanjaro Wilaya Ya Old Moshi Sehemu Inaitwa Shia

Kwa Muda Nimeishi Nairobi , Morogoro , Arusha Na Tanzania

Ndio Hivyo

MOSHI NI JIRANI NA KENYA AU SIYO?

JKT ulienda wapi?

umesoma msingi na sekondari wapi?

kazi ya ko ya kwanza wapi?
 
shy hili suali mbona jepesi sana.. kama hujui ni Mtanzania sema sijui.. kama unajua sema unajua na ni Mtanzania alizaliwa mahali fulani bla bla..Uraia wa nchi hautokani na wapi mtu anatoka, unatokana na sheria inayosema raia ni nani... na kama mtu huyo yumo au la. Na ukishajua raia ni nani basi kuna haki ambazo anastahili raia yule ambazo ni tofauti na mgeni. Mimi ni raia wa Tanzania siyo tu kwa kuzaliwa bali kwa vile wazazi wangu walizaliwa ndani ya Tanganyika kabla ya Uhuru na wakatambuliwa hivyo kuwa ni raia wa nchi hii.

Mtu anaweza kuwa amezaliwa Tanzania na asiwe Raia... hasa kama wazazi wake hawakuzaliwa Tanzania. So, ni raia au si raia?
 
Many former Tanzanian citizens like Mr Kamanzi are now prominent persons in Kigali. They include, among others, Dr L. W. Rutayisire, deputy governor of the Central Bank of Rwanda, who lectured at Dar es Salaam University and served on the board of directors of the Bank of Tanzania. Some of Mr Kamanzi's relatives are still in Tanzania, including his brother, who is employed by the Bank of Tanzania.

Hatuwezi kuendelea kuwanyima ajira WTZ na kuwapa wageni ambao baadaye wanatusaliti. HIVI HII HIMA EMPIRE INAYOPIGIWA KELELE WENGINE WANAFIKIRI NI MCHEZO WA UPATU.

http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=72635#post72635
 
Nimegundua baadhi ya watu hapa JF wana mawazo ya kijinga na wanayaendekeza kiasi cha kutaka kuyapandikiza kwa wenzao. Ile dhambi ambayo JK na wenzake walimfanyia Dk. Salim ili asigombee urais ndiyo wana JF wanafanya sasa kwa staili nyingine, na kutufanya sote hapa tuonekana ovyo na wapenda majungu. Sawa kuuliza siyo ujinga, lakini mnauliza kama Salva ni raia, hamuulizi kama nyie wenyewe ni raia!

Mbona hamuulizi kama rais wetu mwenyewe (JK) ni raia? Kwani uraia ni kitu gani, ambaco hata weusi sasa wanakipata Ujerumani na Poland? Swali la msingi hapa lingekuwa kama Salva ni mzalendo. Haya mengine yote ni upuuzi, kwa sababu hakuna aliyevhagua kuzaliwa na nani, wapi na wakati gani. Hata hivyo uzalendio ni suala la choice; ndiyo maana badhi yetu tulimuona mtu kama Ulimwengu kuwa bora mara mia kuliko baadhi ya hawa watawala wetu na waliopita wanaoteketeza mali zetu. Baadaye tumekuja kujua kwamba hata suala la uraia wa Ulimwengu lilipikwa na wanamtandao wakalipenyeza kwa Mkapa, akatake action bila kujua, kwa sababu walikuwa na malengo ya urais, na walimwogopa Ulimwengu, Warioba na Salim.

Kama ningepaswa kuchagua kati ya Ulimwengu na Kikwete nani awe rais ningesema Ulimwengu kwa sababu ni mzalendo na intelligent kuliko huyu nakundi lake la wanyakuzi! Naanza kukasirika sasa...

Tangu lini mtu wa Pwani asiwe raia? Hivi unataka kuquestion uraia wa JK?

Mimi sina Tatizo na SALVA kupewa lakini JE NI MTU SAFI?

URAIA WAKE UMETULIA?

JE KESHO KUKITKEA VITA TUTAWEZA KUJUA ALLEGIANCE YAKE IKO WAPI?

JE NI MTUSI AU MHUTU?

JE ALIWAWASIADIA WALE AKINA JEAN MINANI WA CNDD WA BURUNDI WALIPOKUWA NA OFISI ZAO PALE KARIAKOO NYUMA YA JENGO LA SIKUTA KATIKA KIPINDI CHA 1997-2000?

OFISI ZENYEWE ZA HAWA WARUNDI ZILIKUWA ZINATAZAMANA NA NEW CO-ACHITECTURE BULDING (la mzee Mushi)

ALIKUWA ANAWASIDIA KAMA NANI? NA ALIPATA FAIDA GANI?
 
samvulacholi wewe ni mpuuzi full of hate & majungu
 
Maswali yako yote hayana msingi. Ona hata jibu lako kuhusu JK. Unaweza kuthibitisha kwamba ni raia? Je, ni muhimu kuzungumzia uraia kulko uzalendo? Mtu yeyote aliyesoma historia anajua kwamba popote walipo binadamu leo, siyo mahali pao asilia. Rudi vitabuni. ndiyo maana hata Rostam amekuwa akida kwamba yeye ni mzalendo kuliko baadhi ya watz weusi hasa wenye mawazo kama haya.

Samvulachole, waliokulea walikubambikiza kitu ambacho hujui katika akili yako - UBAGUZI. Nimekusoma kwenye thread ya "Wakenya" an hii hapa. Naona unapanda sumu ambayo wasiofikiri sana wanakunywa wakidhani ni juisi. Moto unaounguza nyumba huwashwa na njiti moja tu... Endelea kuwasha, ujadili pua za watu, upana wa uso wao na vitu vingine vya kijinga. Wanyarwanda wameshafuzu somo hili. laiti ungekuwa masalia ya kizazi kilichopona kwenye mauaji ya kimbari Rwanda, ungwekuwa more polished. Huwezi kuwapelekea takataka hizi sasa. JF needs to be responsible!
 
samvulacholi wewe ni mpuuzi full of hate & majungu

kwa nini?
kuuliza Salva alikuwa nawasaidia vipi wale warundi 1997-2000 pale kariakoo?

au una lingine? sitaki kuanza kukujibu kwa matusi lakini naona umeyaanza mwenyewe
 
Tangu lini mtu wa Pwani asiwe raia? Hivi unataka kuquestion uraia wa JK?

Mimi sina Tatizo na SALVA kupewa lakini JE NI MTU SAFI?

URAIA WAKE UMETULIA?

JE KESHO KUKITKEA VITA TUTAWEZA KUJUA ALLEGIANCE YAKE IKO WAPI?

JE NI MTUSI AU MHUTU?

JE ALIWAWASIADIA WALE AKINA JEAN MINANI WA CNDD WA BURUNDI WALIPOKUWA NA OFISI ZAO PALE KARIAKOO NYUMA YA JENGO LA SIKUTA KATIKA KIPINDI CHA 1997-2000?

OFISI ZENYEWE ZA HAWA WARUNDI ZILIKUWA ZINATAZAMANA NA NEW CO-ACHITECTURE BULDING (la mzee Mushi)

ALIKUWA ANAWASIDIA KAMA NANI? NA ALIPATA FAIDA GANI?

Duh wewe umepiga misele kidongo chekundu nini? alafu pale nyuma ya jengo la Ushirika kulikuwa na basi linaondokea pale kwenda Kagera.
 
Yaani Salva amekuwa "illigal immigrant" au "foreigner" kuanzia juzi alivyoteuliwa? kabla ya hapo alikuwa na status gani ya uraia? na uhamiaji kwa nini hawakumshughulikia miaka yooooote hiyo ambapo amekuwa kwenye media? au kwa sababu haikuwa nafasi ya kuteuliwa? na kwa nini hoja ya uraia ianze mtu akipewa nfasi serikalini?

Aise JF ni kiboko! Hii ni pure spinning kabisa. Semvula Chole hao jamaa zako wa saigon wao wanafanya investigations baada ya watu kuteuliwa? Nilifikiri wanatafuta illigal immigrants popote walipo, au? Ni kama US itokee Obama achaguliwe kuwa rais, harafu waseme kwamba siyo raia-ofcourse hawawezi kufanya huu upumbavu ambao unafanyika kwenye nchi zetu za KIMASKINI (umaskini wa mali na fikra)

Jamani JF IS BEYOND THESE KIND OF DEBATES. Tukue, tulete mijadala yenye mashiko na sio hizi spinning. Harafu Mkapa akisema Watz tuna wivu tunamjia juu! Ooooohhh. Sasa zaidi ya wivu utasemaje kuhusu huu mjadala?

Haya jamani mjadala mwema.
 
Maswali yako yote hayana msingi. Ona hata jibu lako kuhusu JK. Unaweza kuthibitisha kwamba ni raia? Je, ni muhimu kuzungumzia uraia kulko uzalendo? Mtu yeyote aliyesoma historia anajua kwamba popote walipo binadamu leo, siyo mahali pao asilia. Rudi vitabuni. ndiyo maana hata Rostam amekuwa akida kwamba yeye ni mzalendo kuliko baadhi ya watz weusi hasa wenye mawazo kama haya.

Samvulachole, waliokulea walikubambikiza kitu ambacho hujui katika akili yako - UBAGUZI. Nikmekusoma kwenye thread ya "Wakenya" an hii hapa. Naona unapanda sumu ambayo wasiofikiri sana wanakunywa wakidhani ni juisi. Moto unaounguza nyumba huwashwa na njiti moja tu... Endelea kuwasha, ujadili pua za watu, upana wa uso wao na vitu vingine vya kijinga. Wanyarwanda wameshafuzu somo hili. laiti ungekuwa masalia ya kizazi kilichopoa kwenye mauaji ya kimbari Rwanda, ungwekuwa more polished. Huwezi kuwapelekea takataka hizi sasa. JF needs to be responsible!

SWAHIB

I will stand by maneno yangu kule kwenye thread ya WAKENYA na hali kadhalika i am standing by haya ninayosema humu kuhusu SALVA

kama yamekuudhi then dela with it lakini siwezi kunyamaza wakati MWALIMU anatukanwa...I am sorry kama hilo limekuudhi sana then nenda ukawajoin

labda unaweza kuendelea katika thread hii niliyoanzaisha sometimes back

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1867

lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa watu wana question URAIA WA SALVA
 
unajua kuna kipindi pia nilikuwa nasikia kuhusu uraia wa zitto una utata ! sasa sijui mnaweza mkatueleza kwa wenye info !
 
Back
Top Bottom