Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,917 Reaction score 8,495 May 5, 2009 #41 WomenofSubstanc said: Nilifikiri Lowasa Hayupo tena uongozini baada ya Mkuu kusema amekumbwa na ajali ya kisiasa.Hivi bado yupo -kivipi? Click to expand... Kinyumenyume.Kama konda wa daladala haendeshi gari , lakini ndiye anayemwambia dereva simama, shusha, nenda, angalia Pesa, KULA VICHWA.
WomenofSubstanc said: Nilifikiri Lowasa Hayupo tena uongozini baada ya Mkuu kusema amekumbwa na ajali ya kisiasa.Hivi bado yupo -kivipi? Click to expand... Kinyumenyume.Kama konda wa daladala haendeshi gari , lakini ndiye anayemwambia dereva simama, shusha, nenda, angalia Pesa, KULA VICHWA.