Salute kwa waliosoma PCB/PCM

Sisi wengine tulisoma PCM sababu ya kujiona vipanga alafu masomo ya arts tuliyaona ya kike sana. Ila ukishakuwa mtu mzima huku kitaa ndio utajua nchi hii tunahitaji sera ya elimu itayomfanya mtoto ajue mapema uelekeo wake bila influence za kitoto kama hizo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna somo gumu hapo,hata hayo wanatofikiria ni mepesi,kama ya Sana'a na biashara,watu wanafeli,
Ukikipenda kitu unatiririka tu,yaani vitu kama engineering mathematics,ni maji tu,mazeeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu, ugumu wa kitu ni wewe mwenyewe tu. Pana wengine hata kumtongoza mwanamke huona vigumu.
 
Mie nilisoma PCB lakini mwisho wa siku kura hazikutosha kuwa daktari lakini bado nikakidhi vigezo kwenye masomo ya maandishi mengi na hii ni faida ya kusoma masomo ya sayansi yaani unakomaa na ndoto yako ukiona mwelekeo sio mzuri huko mbele unabadilisha gear angani kwa kusoma course zingine za kawaida wakati mtu wa art hawezi kubadilisha gear angani na kusema anataka asome Engineering wakati mwanafunzi wa sayansi anaweza akabadilisha gear angani
 
Theory ni zile ila kuna namna ya kutumia afu hakuna anayesoma historia ya sayansi kwa sababu sayansi ipo na vifaa vilivyotengenezwa kwa hizo theory zipo na tunaviendeleza na kuviboresha sio lazima tugundue vitu vipya sasa mtu aliyesoma vita vya kwanza vya dunia kwa sasa vitasaidia nn maana hata vikitokea vita vya tatu vya dunia vitakuwa vita vingine tofauti kabisa na vile vya kwanza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Science ni rahisi sana , hadi definition unaweza kuandika formula tu, lakini hizo art inabidi umeze sana
 
Lakini pia history is the science like other science ndugu tusikariri , ndio maana Kuna ugunduzi wa miji ya kale hata leo na kunu vipimo mbili mbili vya kusaidia kupata accurate data.

Sent using Jamii Forums mobile app
History siyo sayansi bhana ila sayansi inasaidia history maana vifaa vinavyotumika kugundua vinatengenezwa kisayansi na sio kihistory

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo masomo sio magumu tatizo watu wameaminishwa maana kama msingi mzuri mtu hakuupata form one ama alipuuzia form 1 and 2 kama somo la Chemistry ndio basi tena na hapo ndio huwa chanzo cha tatizo
 
Aisee mimi kwangu mahesabu ni marahisi kuliko ngwini. Hivyo tu yano.
 
Dah....ndiyo maana nchi haiendi mbele.....tunasoma masomo ili tuwe watu fulani baadaye....badala ya kusoma masomo TUNAYOYAPENDA ......ndiyo maana siyo ajabu kumkuta daktari akijifunza namna ya kutengeneza chachandu ya mbilimbi kwa ajili ya pilau ndani ya chumba cha upasuaji...au kumkuta dereva wa daladala akijifunza Plankalkül programming 😑
 
Mkuu umenena, nimesomea engineering lakini natamani sana uchumi. Sijui hata kwanini!
 
All in all hakuna somo gumu... Ni sawa na ule usemi.. Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtizamaji/mpendaji
Huo ndo ukweli mkuu mi nlikimbiaga history sio ilikuwa ngumu nlikuwa naichukia so hata nkisoma vipo sivuki c mwisho nkaamua kukomaa na mengine koz lengo ilikuwa ku injinia nkaamua kupita na pcm so kabla yakufanya kitu kipende kwanza ugumu hautauona japo pcm sikufaulu vizuri lakin mpaka kesho sioni ugumu wake,nlitafuta B ya history ili niwe na dv nzuri lakin pamoja nakuisoma ilinishinda nkahamia biology nliona ngumu lakin sikuichukia mwisho nlifaulu vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo!best way ni kusema hakuna somo rahisi,ila kuna marahisi kuliko mengine,huwez compare physics na maandishi mengine yoyote,ni si rahisi kukuta mtu kapata A,phys,Chem na Math olevel halafu ukute na F arts za arts,ila mara nying mtu anapata A history na F ya Maths
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…