Salute kwa waliosoma PCB/PCM

.... Unajitofautisha na hawa waliosoma history kwa lipi?....(ingawa history nayo ni sayansi, refer Dk leaky-olduvai george)...


Lakini pia history is the science like other science ndugu tusikariri , ndio maana Kuna ugunduzi wa miji ya kale hata leo na kunu vipimo mbili mbili vya kusaidia kupata accurate data.

Kutumia nyenzo za kisanyansi kujua historia ya kale hakumfanyi muhusika kuwa mwanasayansi japo kuwa mwanasanyansi anaweza kugundua mambo ya kihistoria kwa kutumia ugunduzi wa kisayansi.
 
Hesabu ndio somo Rahisi zaidi duniani,lakini watu wanaliogopa toka std 1
 
Karibu sana mkuu
 
Kiswahili na historia haya ndio masomo magumu nili suffer sana enzi napiga advance ukijalisha nilikuwa napiga 'PC'.

imesomeka!!
 
Hakuna kitu kigumu au chepesi bali mtazamo na akili yako
 
Kama kwako ni gumu huo ni uzembe wako ama ni akili yako tu.. Mbona kuna watu wanasoma hkl na wanapata 0 lakini mtu anasoma pcm anapata 1 (hakuna 1 rahisi kupata kama pcm)
 
Mie nmesoma moja ya hiyo kombi..wala sikua nasooooooma sanaaaaaa.


Maisha ni uchaguzi. Kitu ukikipenda unakifanya as a Calling and Passion.



"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Nimesoma PCM sio PCB.....lol
Nachokumbuka physics tu ndio ilinisumbua kidogo nikapata C lakini hesabu na kemia niliweka B flat.
 
Wengi wa hizi kombi ilikuwa ni kufuata mkumbo na pia STATUS. Ukionekana unasoma hizo kombi wewe ni kichwa.
 
Simple sana:
Afya ndio inayobeba PCB as afya ni ishu kubwa na pana sana.

Ujenzi ndio inayobeba PCM as ujenzi ni ishu kubwa sana na pana sana.

Interesting part:
Hawa vipanga wa PCB ama PCM wakichepukia Accounts and Finance huwa wana shine mapema sana hadi ma Dr na ma Eng wanajiona washamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…