Ni sawa ila tatizo ni elimu yetu,iko examinations oriented (ukifwatilia history ya greatest scientists and innovators walizingua shule) ,sasa bongo embu wazia ugunduzi kama Ndalichako hatakuacha uchi!after all africa everything almost ni politics tu....Narudia ndugu Motcu, moja ya misingi mikubwa ya sayansi(pcb and pcm) ni ugunduzi, na sio historia ya uanasayansi. Tatizo huanzia kwenye ufahari wakati wa uchaguzi kuliko inavyodhaniwa katika application yake. Mathalani, unajihitaje mwanasayansi kwa kutumia chemicals, za wanasayansi wenzio maabara au whatever? Unajitofautisha na hawa waliosoma history kwa lipi?....(ingawa history nayo ni sayansi, refer Dk leaky-olduvai george)....ukija kwenye hoja ya kuajiriwa ni kweli ,lakini ukija kwenye innovation, theories ni zilezile miaka nenda rudi. Wanasayansi mjiongeze ili kuendana na kasi ya viwanda, na uchumi wa kati. Kumbuka mnategemewa sana.
Mkuu ndio wewe nini?? ulikuwa unafeli HISTORY, kwa madai kuwa ni ngumu sana kuliko PHYSICSNani kakuambia hayo masomo ni magumu?? Ugumu unatofautiana kuna wengine history, kiswahili na English ni masomo magumu. Wengine mtihani wa hesabu kabla hatujaingia kwenye chumba cha mtihani tulikiwa tumeshahesabu A.
Sent using Tecno iliyopasuka kioo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenichekesha sana na hayo maneno yako ya Tecno
ni sifa KUFAULU science sio sifa KUSOMA science,ivyo kabla ya kumshauri mtu kusoma science,au kusoma sayansi inabidi ufanye tathmini ya kina ya uwezo wa mtu ,mazingira,shule n.kNilisoma PCB. Imechangia sana kuharibu maisha yangu especially Physics. Lakini si haba. LA msingi tuwasaidie watoto kufanya right choice bila kutaka sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una Gere na wanasayansi wa bongo, huwezi kujua sayansi kama hujui wenzako miaka ya nyuma walifanya nini hivyo kujua walipotoka ni muhimu sana. Wabongo wamegundua vingi na wanaendelea kugundua nenda SUA utawakuta panya wa kutegua mabomu, Power bank za PUKU ni mbongo na vingine vingi ambavyo havitangazwi, pia kusoma sayansi sio lazima wote wawe wagunduzi kama ulivyopost, wengine wanaishia kuwa operators tu. Punguzeni kujua sana, nyinyi ndio mnawaambia watoto sayansi ni ngumu Eti kwa kuwa mzazi ilikushinda.....Narudia ndugu Motcu, moja ya misingi mikubwa ya sayansi(pcb and pcm) ni ugunduzi, na sio historia ya uanasayansi. Tatizo huanzia kwenye ufahari wakati wa uchaguzi kuliko inavyodhaniwa katika application yake. Mathalani, unajihitaje mwanasayansi kwa kutumia chemicals, za wanasayansi wenzio maabara au whatever? Unajitofautisha na hawa waliosoma history kwa lipi?....(ingawa history nayo ni sayansi, refer Dk leaky-olduvai george)....ukija kwenye hoja ya kuajiriwa ni kweli ,lakini ukija kwenye innovation, theories ni zilezile miaka nenda rudi. Wanasayansi mjiongeze ili kuendana na kasi ya viwanda, na uchumi wa kati. Kumbuka mnategemewa sana.
Wanasayansi hawathaminiwi nchi nyingi za africa ndio maana ukiona mtu yupo vizuri kichwani na ana information au kapata chance za majuu analala mbele!Ni mapenzi au hulka, kama Mimi nilikua napenda sana Sayansi yale mambo ya Calculations nini ndio nikaingia huko, now on nimesoma Engineering mafanikio sio makubwa km zile juhudi nilizokua nafanya nikiwa shule
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Job satisfaction inatokana na malengo na moyo wa mtu ....kwenye kazi sio jumla jumla kama ulivyobandika hapa!PCB kwa kweli sijawahi kukosa ajira na mwanza nilisoma ki udadisi tu lakini pia kuna job satisfaction.
Hakuna mrefu anae taka kua mfupi ila mfupi anautamani urefuKiswahili na History mbona ndio magumu. Yaani mimi kukariri miaka ya watu kuzaliwa, kupigana, kufa nk ilinishinda kabisa. Masomo ya sayansi yamenifikisha mbali lakini hata hivyo kwa sasa natamani uchumi. Najua hii ni nature ya binadamu tu - kutaka kile asichokuwa... Mrefu anataka kuwa mfupi, mfupi anataka kuwa mrefu nk.
Hakuna somo rahisi ndugu ni mtu tuu mwenyewe, mimi nili ogopa English nikiwa form 2, ilikua ni mziki kwangu nikapenda Sayansi, Ajabu form five nikapenda kasoma art ila English haikuwepo, kufika chuo hicho kiswahili usiskie (ni balaaa) sio hiki cha mtaa tukijuacho kina hesabu hizo ukikaa vibaya unadisko hicho hicho kiswahili,View attachment 848895lol
hao waliosoma hizo kombi walikua wanasoma sana jamani,
Leo nataka kujua was it worth?LOL
naomba mliosoma hizi kombi msaidie watoto wafanye right choice..
ningependa kujua;ulisoma nini kati ya hizo?matarajio yako yalikua nini? umeachieve?nini changamoto ulizokumbana nazo mpaka umefikia hapo?
currently huku mtaani,PCB ni madaktari na PCM ni ma engineer
nauliza hivi kwa nini mnatoka kusoma kozi ngumu advance then mnachagua masomo magumu Zaidi huko chuo???ππππππππ
je wanafanya hivi kwa kuwa hamna choices nyingi?