MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Kelly sweetie, one more question before I go, hii huduma kwani ni kwa kinamama tu au hata kina baba wanapatiwa wakitaka? na je kwa akina mama nani anawahudumia wanawake wenzao au kina kaka na kwa kina baba je nani anawapaka na kutoa hiyo Brazilian wax? Ndo hicho kinaitwaga waxing au ni kingine? Yaani sie wa Nanjilinji tunapitwa na mengi!
mj my dear hata akina baba pia wapo wanaofanya hii brazilian wax ila sijui about huko chini kwao ila kuna wengine wanafanya wax kutoa nywele za usoni, au nywele za kifuani....hii kazi ina depend hata mwanamke anaweza kummfanyia mwanamke mwenzake...kama nilivyosema before its business wale watu wapo kazini na wala hakuna matamanio au sijui kukupapasa na vitu kama hivyo....so far i will recommend you to go and try ila kama ni mara yako ya kwanaza be prepared inauma sana na wala siyo kidogo.....take painkiller kabla hujaenda.....
seems so expert una toa hii huduma nini??
MJ my dear hata akina baba pia wapo wanaofanya hii brazilian wax ila sijui about huko chini kwao ila kuna wengine wanafanya wax kutoa nywele za usoni, au nywele za kifuani....hii kazi ina depend hata mwanamke anaweza kummfanyia mwanamke mwenzake...kama nilivyosema before its business wale watu wapo kazini na wala hakuna matamanio au sijui kukupapasa na vitu kama hivyo....so far i will recommend you to go and try ila kama ni mara yako ya kwanaza be prepared inauma sana na wala siyo kidogo.....take painkiller kabla hujaenda.....
Thanx dia but ushanambia inauma mh nitabakia kusoma tu hapa kwako. Mimi muoga sana mpenzi wangu.
Nimeuliza kwani sipati picha mbaba amekaa kaichanua miguu mwenzie anampaka sijui nini mh hawachunguliani? makubwa haya bye.
i doubt kama kuelezea kitu ni kuwa expert....but all i can say i have been doing brazilian wax for years so i know the deal.....
hahahahah MJ umenifurahisha sana!....Haya bye!.....i think gay guy wanaweza wakawa wanafanya huko chini ila straight guy na akili zake i doubted....
Ndio ni huduma kama zilivyohuduma zingine. nakama akitaka zisiote vipele wanaweza kutumia hata uzi badala ya wembe au mashine nyingine.
Na huyo "my wife wake" yeye alikuwa na hiari ya kuhitaji hiyo huduma au la!
Msije shindwa kushangaa tu pale mapicha yenu yakakutwa kwenye magazeti ya udaku...! Na kichwa cha habari kikuuubwaaa...!
"Superman with 2inch wand"
Eti eeh?! Phweee afadhali maana nlishaanza kupiga picha Mr. akiwa kajiachia kwa nafasi oh !! haya mama na once again aksant ekwa knowledge ya maisha ya usasa.
Thanx dia but ushanambia inauma mh nitabakia kusoma tu hapa kwako. Mimi muoga sana mpenzi wangu.
Nimeuliza kwani sipati picha mbaba amekaa kaichanua miguu mwenzie anampaka sijui nini mh hawachunguliani? makubwa haya bye.
Ha haaaaaa,hakika kweli hii ni kali,yaani umenifanya nicheke mpaka basi,embu chukulia JIBABA lenyewe liwe na kitambi hivi duu,,,,halafu linaugulia ashiiiiiiii!!!!!,kijamaa kinamwambia mzee vumilia kidogo tunamaliza sasa hivi,bado hapa kwenye kona kona hizi karibu na JICHO,,,,aaah !!!
Sana tu, ukienda sehemu nyingi duniani hii ni standard operating procedure, kama vipi chungulia mkanda wa ngono uone results!Mkuu;
Una ushuhuda wowote?
si unajua gay guy wanatabia kama za kike hivi.........so wao wanashave mpaka miguu na mikono na nyusi pia .......kama siye wanawake tunavyofanya....its very interesting to see them na wako so clean wale watu....i like them actual i have few gays friends they are so lovelye and have sense of humor......
Mhudumu anakuwa dada, problem solve! Ila sijawahi kusikia mwanaume anapata bikini wax kusema kweli, labda ya mgongo, kifua etc.wasiwasi wangu ni pale huduma hiyo itapotolewa kwa mteja baba na mhudumu baba,wateja wengine wana nywele hadi makalioni sasa mhudumu anapotaka kumuhudumia hapo katikati ya makalio itakuwaje?Jamani hacheni kuiga uzungu mtatuletea sodoma na gomola!
Kitu ambacho najiuliza . . .
Kwa Nchi kama yetu ambayo "Professionalism" wakati mwingine si kipaumbele katika kazi . . . . Si hatari kuwa mwanzo wa maovu mengine ndani ya Saluni.
Hii shughuli inahitaji Privacy . . . Sasa itakuwa vipi kama Mamaaa akipelekeshwa na kuhadaliwa na wazoefi kisha akaingia mkenge?