superman..Brazilian wax inafanya nywele kuota taratibu na pia huondoa bumps...na kukufanya uwe so fresh and clean....
Asante Kelly;
Nilichokuwa najiuliza ni vipi Mamaa alienda na kujianika 100% ili aweze kupewa hii huduma . . . .
Na nimesoma mahli humu JF kwamba siku hizi Lez ni kama kawa . . .
Au unaanzaje anzaje?
hahahaha no super man siyo kama unamkaliza uchi mwananmke wmenzio huwa sehemu ile ya siri inazibwa.....hahahaha usihofu sana hakuna tatizo kabisa hapo.......alafu kuna style nyingi kama unataka zingolewe zote au unataaka kuweka punk it depends......
Hihiii,
Watu wa mjini mna shida nyie? Siye huku shamba akah. Sasa huko chini akina dada si watakuwa na punky za ajabu sanasana? Au dada anaweka jina lako SUPERMAN.
Sasa katika haya mambo siku zote huwa naanza na swali moja kubwa sana zaidi ya lile la gharama. Je kuna side efect gani (madhara) kwa kutumia hizo Brazilian wax au hiyo mianga ya laser? Madhara hayo ni makubwa sana au kidogo? Akina dada chungeni sana na haya mambo yasiyochunguzwa sana.
Kelly;
Jamani acheni utani. Mbona mpaka kule kwenye "Vimashavu" huwa zinaota? Sasa zitanyolewaje kule bila kumchanulia? LOL
Huduma hii ni ya kunyoa nywele za sehemu nyeti kwa namna ambayo nywele zote zinatoka na kukufanya "Kwa Bibi" kuwe kipara kabisa. Pia akanihabarisha kuwa Mamaa aliambiwa akinyolewa hivyo, nywele zinachukua muda mrefu sana kuota na wala hatoki vipele vya wembe.
Ndio ni huduma kama zilivyohuduma zingine. nakama akitaka zisiote vipele wanaweza kutumia hata uzi badala ya wembe au mashine nyingine.
Na huyo "my wife wake" yeye alikuwa na hiari ya kuhitaji hiyo huduma au la!
Superman my friend eeh...kwani hapo kuna shida gani?..mbona watu we have been doing that for years hakuna tatizo lolote lile.....yule anayekunyoa anafanya kazi yake pale ukimaliza unampa tip yake ...biashara imekwisha....lakini brazilian wax is safe that kutumia hizo razor.......
Kelly mamii kwani hiyo ndude sijui ya Brazil huwezipaka mwenyewe au ukampa bamsap akupake mpaka ukapakiwe saluni?
shosti....hhaha trust me mwenyewe hutaweza kufanya...nilishawahi kujaribu mwenyewe nusu nijikojolee....yeah unaweza kumpa my husband wako akufanyie kama unayo ile wax kit yenyewe......ila kumbuka lazima awe sharp ikikugandia kasheshe unayo......
Superman my friend eeh...kwani hapo kuna shida gani?..mbona watu we have been doing that for years hakuna tatizo lolote lile.....yule anayekunyoa anafanya kazi yake pale ukimaliza unampa tip yake ...biashara imekwisha....lakini brazilian wax is safe that kutumia hizo razor.......
Aksante mamii wangu kwa elimu hii kweli siku hizi kila kitu kwa teke linalokujia.... haya mama tuhabarishe!
Huo ndio mwanzo wa kusagana kwani hiyo kazi anafanya babaa kwa babaa anafanya mama tena ndani kwenu mmetulia.Superman my friend eeh...kwani hapo kuna shida gani?..mbona watu we have been doing that for years hakuna tatizo lolote lile.....yule anayekunyoa anafanya kazi yake pale ukimaliza unampa tip yake ...biashara imekwisha....lakini brazilian wax is safe that kutumia hizo razor.......
Huo ndio mwanzo wa kusagana kwani hiyo kazi anafanya babaa kwa babaa anafanya mama tena ndani kwenu mmetulia.