Hmm...hizo handbags ni authentic kweli au ndo zile za Kariakoo?
Manake mjini hapa nimeona hadi Buscemis zinauzwa Kariakoo....lakini ni feki feki feki.
Kuna wakati na mimi nilijitoa nikanunua Burberry hand bag e-bay. Niliikuta ile ile inauzwa Mwenge mtumbaniππ
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ulimuweza aiseeeeBaada ya jibu hili alikimbia jumla, dawa jeuri ni kiburi.
Vizuri sana kama ni kwema pande hizo mkuu NdukaKwema mkuu
Hii ndio bongo mkuu unapata hadi Rolex kwa 50,000/- tu!Za mitumba zipo lakini feki nadhani ndo nyingi zaidi.
Kibongo bongo wadada wengi hivyo kumiliki hizo high end designer products si rahisi.
Wengi wanazo feki tu.
Mkuu, hapo umemkosea, ungempatia tu, hicho ndo kipaumbele chake, zingatia kuwa hapo alikuwa anakuomba mtaji ajitengeneze, apenedeze, avutie na kupendwa na wateja wengi zaidi kule bar ili aongeze kipato kwa kutongozwa na wanaume wengi, ni sawa na kama angekuomba hiyo pesa na kuiwekeza kwenye biashara.
yaani hamsini unaona hatari?we ulitaka umpe ngapi?Binti baa medi analipwa laki na hamsini kwa mwezi, anathubutu kuniomba elfu hamsini, sio kulipia kodi ya nyumba au kumsaidia mdogo wake ada bali akatengeneze nywele. Shenzi nimemuacha kuanzia leo, hajui vipaumbele vyake.
Rejea maada yako sehemu. Atakuwa mistress Hugo.Mimi ninashindwa kuelewa hapa unamkuta mtu anafanya kazi mshahara Tsh. 350,000 kwa mwezi lakini ana usafiri Suzuki four wheel drive, handbag ya LV au Gucci ya 1.2 mil, amesuka lace wig 300,000 tena yuko single.
Kwa nn?Wazee wa ku-cut cost. Enzi za JK huwezi kumpiga chini mchuchu kwasababu ya Elf50.
Rejea maada yako sehemu. Atakuwa mistress Hugo.
Hela ilikua nje njeKwa nn?
OkHela ilikua nje nje