Mwanamke huwa haombi direct kuwa anataka pesa afanyie nini Ndio maana Hata mama zetu waliachiwa pesa ya mboga sisi tukavaa unadhani kina baba wote huwa wanatoa fungu Kwa ajili ya nguo? Labda za sikuu tu ila hizi Mara nguo za ndani haswa Kwa wale house wives huwa Ni mabaki ya chenji za sokoni
Taratibu jifunze kuwajua wanawake hapo nywele elfu 10 hardly , handbag 20 , voucher elf 5 , body spray 5 na 10 iliyobaki ni upkeep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikimbie mbio ndefu hivyo Kwa 50 elfu ya saloon. Mpe tu
Ushasema baa medi ulitaka akuombe hela ya kulipa ada? Hujui kuwa anatumia gharama ili azidi kupendeza kama wanaume wenzako walivyompendezesha hadi ikapelekea wewe kuvutiwa nae? Ulifikiri kabla yako alikuwa akipendezea hela za nani kama siyo za wanaume wenzako kila mmoja na zamu yake kwa kuwapanga foleni ambayo inaweza fika hadi Ntwara kwenye gesi. Mwanaume gani unakula baa medi wakati mtaani kuna watoto wazuri amabao hata toilet hawajawahi kwenda.Binti baa medi analipwa laki na hamsini kwa mwezi, anathubutu kuniomba elfu hamsini, sio kulipia kodi ya nyumba au kumsaidia mdogo wake ada bali akatengeneze nywele. Shenzi nimemuacha kuanzia leo, hajui vipaumbele vyake.
Acha upimbi wa kuropoka. Hovyo hapa usingemkuta amependeza ungemtaka? Nyie ndio aina ya wanaume mnao waonea mabamed wivu!jun255 hakuna sehemu nimesema bure, ninaweza kukununua wewe na mama yako mzazi hata kwa milioni kumi ila kwa mtu anayefanya kazi ya mshahara wa laki na nusu, sioni kama anatakiwa kutumia elfu hamsini kutengeneza nywele. BTW wewe na mama yako mnaweza kudai shilingi ngapi?
Mtafute lara1 akupe maujanja ya mjin acha kuzeeka kifala na chura umejaliwa!!Mimi ninashindwa kuelewa hapa unamkuta mtu anafanya kazi mshahara Tsh. 350,000 kwa mwezi lakini ana usafiri Suzuki four wheel drive, handbag ya LV au Gucci ya 1.2 mil, amesuka lace wig 300,000 tena yuko single.
Mbona LUGHA yako ina UKAKASI sana. Mama hapo katokea wapi sasa? Jitaidi kuwa wastaarabu.jun255 hakuna sehemu nimesema bure, ninaweza kukununua wewe na mama yako mzazi hata kwa milioni kumi ila kwa mtu anayefanya kazi ya mshahara wa laki na nusu, sioni kama anatakiwa kutumia elfu hamsini kutengeneza nywele. BTW wewe na mama yako mnaweza kudai shilingi ngapi?
Mimi ninashindwa kuelewa hapa unamkuta mtu anafanya kazi mshahara Tsh. 350,000 kwa mwezi lakini ana usafiri Suzuki four wheel drive, handbag ya LV au Gucci ya 1.2 mil, amesuka lace wig 300,000 tena yuko single.
Halafu ulete feedbackDada Farasi mweupe umejibu ki professional zaidi. Nitafikiria upya uamuzi wangu wa kukimbia mbio ndefu.
Halafu ulete feedback
hebu mwaga bajeti yako mkuu.......... mfano saluni shlingi kadhaaBinti baa medi analipwa laki na hamsini kwa mwezi, anathubutu kuniomba elfu hamsini, sio kulipia kodi ya nyumba au kumsaidia mdogo wake ada bali akatengeneze nywele. Shenzi nimemuacha kuanzia leo, hajui vipaumbele vyake.
Mi nahisi anapata hela kukuzidi wewe,jun255 hakuna sehemu nimesema bure, ninaweza kukununua wewe na mama yako mzazi hata kwa milioni kumi ila kwa mtu anayefanya kazi ya mshahara wa laki na nusu, sioni kama anatakiwa kutumia elfu hamsini kutengeneza nywele. BTW wewe na mama yako mnaweza kudai shilingi ngapi?
Ukiona hivyo hajakalia uchumi hapo kati. Wanawake bado tuna njia ndefu sana ya kufikia usawa. Mtu una elimu na kazi nzuri bado unategemea kuwa na mwanaume shida zako zipungue, mdada mwenye masters hana tofauti na ambaye hajawahi kusoma hata darasa moja. Tunavyoovaa, tunavyofikiria, na vitu tuavyodemand yaani ni vituko.Mimi ninashindwa kuelewa hapa unamkuta mtu anafanya kazi mshahara Tsh. 350,000 kwa mwezi lakini ana usafiri Suzuki four wheel drive, handbag ya LV au Gucci ya 1.2 mil, amesuka lace wig 300,000 tena yuko single.
Ukiona hivyo hajakalia uchumi hapo kati. Wanawake bado tuna njia ndefu sana ya kufikia usawa. Mtu una elimu na kazi nzuri bado unategemea kuwa na mwanaume shida zako zipungue, mdada mwenye masters hana tofauti na ambaye hajawahi kusoma hata darasa moja. Tunavyoovaa, tunavyofikiria, na vitu tuavyodemand yaani ni vituko.
Karibu ba paroko[emoji4]Shem aggy naomba tuongee kidogo pm dadangu
We acha tu. Makazini humu vioja kila kukicha, competition za kitoto watu wazima na elimu zaoTena hao wenye masters wakienda kwenye mikutano wananunua nguo na kushindana na masecretary. Majanga.