Salum Mwalimu Katibu Mkuu CHAUMMA.

Salum Mwalimu Katibu Mkuu CHAUMMA.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,345
Reaction score
23,764
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Sasa Mama anahusika vipi na CHAUMA? Halafu huyo aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu si kwa mujibu wa taratibu zao? Mie nadhani wamekosea njia kwenda CHAUMA. Bora wangehamia ACT Wazalendo wakamuunge mkono Zito maana alikuwa mwenzao. Sasa wanaenda kwa mzee wa Ubwabwa? Itakuwa wana njaa na hamu ya Ubwabwa sio bure.
 
Kweli mama anatosha kabisa!!

Mbona wahuni wanamharibia na tekateka na poteza poteza!!?

Hivi mdude ndio kaenda mazima kumbe!?
 
Sasa Mama anahusika vipi na CHAUMA? Halafu huyo aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu si kwa mujibu wa taratibu zao? Mie nadhani wamekosea njia kwenda CHAUMA. Bora wangehamia ACT Wazalendo wakamuunge mkono Zito maana alikuwa mwenzao. Sasa wanaenda kwa mzee wa Ubwabwa? Itakuwa wana njaa na hamu ya Ubwabwa sio bure.
Mama amewafikia wadanganyika kwa kugusa maisha ya wanyonge njaa55 kwa kumtumia Abdul kuwalambisha asali na kuwaunganisha na mzee wa ubwabwa bwana spunda
 
Sasa Mama anahusika vipi na CHAUMA? Halafu huyo aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu si kwa mujibu wa taratibu zao? Mie nadhani wamekosea njia kwenda CHAUMA. Bora wangehamia ACT Wazalendo wakamuunge mkono Zito maana alikuwa mwenzao. Sasa wanaenda kwa mzee wa Ubwabwa? Itakuwa wana njaa na hamu ya Ubwabwa sio bure.
NO! **** MISSION HAO. UBUNGE, UKUU WA WILAYA, MKOA, ETC
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
dah,
g55 wamejipanga sana aise,

sema wanaenda kupambana na chadema ambayo ni debe tupu tu ya waropokaji watupu vichwani, ambayo hata uchaguzi mkuu wa october hawana sifa na vigezo vya kisheria kushiriki :pedroP:
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kweli. Kwa kumteua Mwalimu kuwa KM wa CHAUMMA. Mama ametufikia wanyonge.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Shida yako ni moja tu, hauna siri,

Wenzako wamefanya siri kufungua tawi lingine

Sasa mpaka ww umeandika na kusifia basi tushajua code kuwa ni tawi lenu lingine linakuja kushindana na chadema

Sasa wenzenu hawapo tena kwenye uchaguzi why mnatumia nguvu kubwa hivyo?
 
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Shetani kutoka Chama Cha Mashetani CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom