Kumbe walienda kwa ajili ya vyeoNdugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu we ni CCM au CHAUMMA sielewi ujueNdugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hawa wataendelea kufanya press tu ground wataaibika vibaya mno sio kwa CDM hii ya TAL 🤣🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Gentleman kwanini tena wapambane na Chadema wakati wamehamia Chauma ili wakagombee ubunge na udiwani, si wanaenda kupambana na chama dume ccm au?dah,
g55 wamejipanga sana aise,
sema wanaenda kupambana na chadema ambayo ni debe tupu tu ya waropokaji watupu vichwani, ambayo hata uchaguzi mkuu wa october hawana sifa na vizo vya kisheria kushiriki![]()
sasa ndio uende huko kuna vyeo sio kila siku mama mama unamaliza tu kuku wako kwa wagangaNdugu zangu Watanzania,
Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
zingatia maelezo utajionea ninachokisema,Gentleman kwanini tena wapambane na Chadema wakati wamehamia Chauma ili wakagombee ubunge na udiwani, si wanaenda kupambana na chama dume ccm au?