Salum Mwalim: Nakwenda kuwa Mwendawazimu kwa ajili ya watu wa Kinondoni kule bungeni kurudisha heshima ya Kinondoni

DUNz5v6X4AAu0TY.jpg



DUN0UFuWAAALNeN.jpg


\
 
Mpaka leo sijapta jibu mtulia ni mtu wa aina ipi au anazo akili za aina gani maana kwa binadamu aliyetimia awezi kuwa na akili kama zake .ni bora angekaa kimya
 
Huyu apewe kura za ndio. Huyo aliyetuacha solemba bila hata kuaga akapitia mlango wa uani kwenda kwa Hamphrey hatufai. Tunamshauri Hamphrey amtafutie kazi nyingine huyu Mtulia asiyetulia
 
Bungeni bahati mbaya hawendi wenda wazimu wale waliopenya kwa bahati mbaya , washasota na wengine wanasota rumande. Hahahahaaa
 
Kama hujui ubunge ni nini, basi kichwani umejaa kinyesi, hili ni jukwaa huru, lazima tutofautiane mitizamo, ukitaka tufanane mitzamo utakua punguani mkuu, hata wale wenye mtizamo tofauti na wako fahamu wanakuona ni mjinga tu, huu mchezo hautaki hasira
Hili jukwaa huru ila tunapoona mazezeta ambao ubongo umejaa lamii lazima tuwaambie ukweli,sababu we unajiona mjanja kumbe umepiga msamba katikati ya mfereji wa maji taka uwazi ukiwa umeachia
 
Mwalimu ana sifa zote za kuwa kiongozi wa watu….. nakumbuka enzi zake channel ten alikuwa anatugusa tulio wengi kwa weledi na busara zake!… KINONDONI TUNACHAGUA MTU SIO CHAMA!!!!
 
Hili jukwaa huru ila tunapoona mazezeta ambao ubongo umejaa lamii lazima tuwaambie ukweli,sababu we unajiona mjanja kumbe umepiga msamba katikati ya mfereji wa maji taka uwazi ukiwa umeachia
maelezo yako ni kama vile upo moyoni mwangu, hata Mimi nakuona kama maelezo yako yanavyojieleza,
 
..asiwasahau wapiga kura wanaotaka serekali ibembelezwe au inong'onezwe ili kutatua kero za wananchi.
 
Mimi nimependezwa na kuimarika kwa muungano wetu tu! Namuombea kwa hilo.
 
Back
Top Bottom