Salum Mwalim: Nakwenda kuwa Mwendawazimu kwa ajili ya watu wa Kinondoni kule bungeni kurudisha heshima ya Kinondoni

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Nakwenda kuwa mwendawazimu kwa ajili ya watu wa Kinondoni kule Bungeni, nitalia kwa ajili ya watu wa Kinondoni, kuhakikisha narudisha heshima ya Kinondoni" Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni, Mhe Salum Mwalim.

mwalimu1.jpg
 
wanakinondoni tumeamua kusimama na Mtulia


Leo ujaenda forex,siasa kwako ni kama masilai ujui ni nini unafanya wewe na mtulia ni sawa tu maana umeisha tembeza bakuri lako karibu vyama vyote na sasa ni umerudi kwa majagiri ccm



Swissme
 
Bado hajawa mbunge mmeanza kumuita mheshimiwa

Joowzey,
Mkuu,
Huo ndiyo ukoloni mambo leo wenyewe na utumwa .

Jamaa yangu kabisa tulicheza naye siku moja analazimisha mbele za jamaa zangu wengine ati nimuite Mhe.

Nikaondoka nikamwacha na mambo yake hayo.

Wengine tumekuwa nao wana maisha magumu ati nikawaona wanakataa kulala hotel za kawaida pale Dodoma ile mwaka Jana wanataka hoteli zenye hadhi wakati vijijini kwao Hamna hizo hotel.

Ni mambo ya ajabu sana.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom