Salum Mwalim: Nakwenda kuwa Mwendawazimu kwa ajili ya watu wa Kinondoni kule bungeni kurudisha heshima ya Kinondoni

Siasa unaweza ukajifanya mwanamke ili ushinde .

Sasa unaenda kulialia bungeni ili iweje!?

Kazi kweli Kweli.
Hajamaanisha kulia machozi,ila ametumia literally language..., kwa kuwa machozi ni hisia zinazo wakilisha maumivu na yeye atapeleka maumivu ya watu wa Kinondoni mjengoni!
 
Kinondoni hatutaki wendawazimu bali wenye akili timamu.
Watuambie atapata wapi pesa ya maendeleo kwa ajili ya Jimbo wakati serikali iliyopo madarakani wqnasema haijaleta maendeleo yoyote?
Mwenye akili timamu ambaye ni Mtulia? Sawa na mwendawazimu kuchanua uwazi wake katikati ya barabara.
 
Mtaacha lini ujinga "Ubunge" ndiyo nini?
Kama hujui ubunge ni nini, basi kichwani umejaa kinyesi, hili ni jukwaa huru, lazima tutofautiane mitizamo, ukitaka tufanane mitzamo utakua punguani mkuu, hata wale wenye mtizamo tofauti na wako fahamu wanakuona ni mjinga tu, huu mchezo hautaki hasira
 
Heshima gani ya Kinondoni iliyopotea inayokwenda kurudishwa? Wanasiasa acheni zenu hizo! Sometimes bunini mbinu au maneno ya kweli kwenye kuomba kura sio kila mtu anakuja na maneno ya kuwaletea watu maendeleo kumbe ki uhalisia anafuata ugali wa tumbo lake.
 
Mtulia ndio atarudisha heshima ya Kinondoni..!
Alishindwa nn hapo awali? Wewe ulihakikiwa vyeti kweli mkuu. Isije ikaww kama yule mkuu wa mkoa wa dar mana haiwezekani hata mwanafunzi wa form two hawezi kuwa na akili kama hizo zako
 
Wenye frastrations je ? Hamuwataki pia? 2wale wanaokota magari bandarini na kununua mavivuko mabovu kuyapeleka jeshini ili isiwe tabu
Kinondoni hatutaki wendawazimu bali wenye akili timamu.
Watuambie atapata wapi pesa ya maendeleo kwa ajili ya Jimbo wakati serikali iliyopo madarakani wqnasema haijaleta maendeleo yoyote?
 
Heshima gani ya Kinondoni iliyopotea inayokwenda kurudishwa? Wanasiasa acheni zenu hizo! Sometimes bunini mbinu au maneno ya kweli kwenye kuomba kura sio kila mtu anakuja na maneno ya kuwaletea watu maendeleo kumbe ki uhalisia anafuata ugali wa tumbo lake.
Waulizeni hiyo heshima ilipotea lini
 
Back
Top Bottom