Salum Mwalim: Nakwenda kuwa Mwendawazimu kwa ajili ya watu wa Kinondoni kule bungeni kurudisha heshima ya Kinondoni

Siasa unaweza ukajifanya mwanamke ili ushinde .

Sasa unaenda kulialia bungeni ili iweje!?

Kazi kweli Kweli.
Kwa mara ya kwanza nasoma post yako ambayo inaonesha hujaelewa vizuri.
Anyway, "wewe unaona kuwa mwendawazimu bungeni, na kulia kwa ajili ya wanakinondoni" ndio kuwa mwanamke?!. Haya huo uanaume ni upi huko bungeni?...
 
Hizo ndizo siasa,wengine walipiga mpaka pushap wakati wa kutafuta,baada ya kupata Leo ukiwambia kuwa walipata madaraka kwa kupiga pushap utapelekwa jela kwa uchochezi.
 
Kwa mara ya kwanza nasoma post yako ambayo inaonesha hujaelewa vizuri.
Anyway, "wewe unaona kuwa mwendawazimu bungeni, na kulia kwa ajili ya wanakinondoni" ndio kuwa mwanamke?!. Haya huo uanaume ni upi huko bungeni?...

CWR2016 ,
Mkuu,
Niwe radhi kwa kuandika post ambayo hujaielewa.
Lugha hiyo niliyotumia ni ngumu kidogo.

Next time nitajitahidi kupunguza lugha ya hivyo.
 
Nakwenda kuwa mwendawazimu kwa ajili ya watu wa Kinondoni kule Bungeni, nitalia kwa ajili ya watu wa Kinondoni, kuhakikisha narudisha heshima ya Kinondoni" Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni, Mhe Salum Mwalim.

View attachment 682791
Yuko wapi Mnyika.....Kubenea......na Mdee?!! Huyu awadanganye hao hao Ufipa wenzake wana kinondoni hatudanganyiki!
 
Nitawashangaa wanakinondoni kama watakweenda kumchagua mtu ambae ametamka mwenyewe kuwa anakwenda kuwa mwendawazimu.

Tujikumbushe tafsiri ya mwendawazimu

mwendawazimu
  • _source__2730@glosbe.com-64.png

    crazy person
  • _source__2730@glosbe.com-64.png

    mad person
  • _source__2730@glosbe.com-64.png

    mentally ill person
VOTE WISELY
 
stroke,
Mkuu
Wewe acha kabisa ,,, Tanzania tunaombwe la viongozi hasa hawa vijana ndiyo hamna kitu kabisa.

Tatizo sasa na wazee wa zamani pamoja na wazee wa leo nao wanaiga hizo siasa uchwara mbuzi za vijana za kwenda kuwa wendawazimu na kulialia bungeni.

Hatari sana.
 
Ukiambiwa amekula chumvi nyingi unaanza kuwazia ni tani ngapi kala?
 
stroke,
Mkuu
Wewe acha kabisa ,,, Tanzania tunaombwe la viongozi hasa hawa vijana ndiyo hamna kitu kabisa.

Tatizo sasa na wazee wa zamani pamoja na wazee wa leo nao wanaiga hizo siasa uchwara mbuzi za vijana za kwenda kuwa wendawazimu na kulialia bungeni.

Hatari sana.
Sugu alivunja mic, huyu nawasiwasi vioo havitakuwa salama.
 
Nakwenda kuwa mwendawazimu kwa ajili ya watu wa Kinondoni kule Bungeni, nitalia kwa ajili ya watu wa Kinondoni, kuhakikisha narudisha heshima ya Kinondoni" Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni, Mhe Salum Mwalim.

View attachment 682791
Kinondoni hatutaki wendawazimu bali wenye akili timamu.
Watuambie atapata wapi pesa ya maendeleo kwa ajili ya Jimbo wakati serikali iliyopo madarakani wqnasema haijaleta maendeleo yoyote?
 
Kinondoni hatutaki wendawazimu bali wenye akili timamu.
Watuambie atapata wapi pesa ya maendeleo kwa ajili ya Jimbo wakati serikali iliyopo madarakani wqnasema haijaleta maendeleo yoyote?

Sasa hivi wanajifanya kuahidi kuleta Maendeleo wakishapata ubunge ukiwakumbusha ahadi zao wanajifanya Kazi ya kuleta Maendeleo ni ya Serikali sio ya Mbunge Ila wakati wa Kampeni wanajifanya wao ndio walete Maendeleo

Namkumbuka sana Mch. Mtikila kuhusu kuruhusu Hawa Watu wa Nchi za nje kuja kugombea Uongozi Nchini kwetu!
I remember you Rev. Christopher Mtikila
 
Back
Top Bottom