Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Ukiwa hater bhna kila anachofanya mpinzani unahisi dongo kumbe mwenzio walaaa hana story [emoji13]
 
Kwanini wakimbizane kama jogoo,
Ainame kidogo ashike magoti, yeye kasimama kama ngongoti....... Daaaa noma sana
 
Wasanii wengi hawajui maana ya "publishing rights" See Music Publishing - How To Guide To Music Publishing | TuneCore

Bob Marley alipigania sana hizi rights, kuna wakati akawa anawapa rights mpaka ndugu zake na rafiki zake wa utotoni. Watu wakawa wanashangaa, mbona Bob Marley kawaandika hawa watu hata si wanamuziki kama ndio wana publishing rights za nyimbo hizi?

Sasa hivi hawa watu wamekuwa matajiri kwa sababu ya royalties na licensing fees.

Halafu Bongo hata sheria zenyewe sijui kama zipo za kueleweka.
 
Mashairi ya wimbo huu mmh
Haitakiwi kuyatafakari kwakweli..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mtu anaelewa hii lugha atutafsirie?

Mimi nilichoambulia ni Halidi na Philemon walipendana sana mapenzi yao yakadumu, mwenye wivu ajinyonge.

Halafu wanaoneshwa Wamasai wawili wanaume.

Sounds like a petition of sorts for gay marriage between two men.

Saida Karoli kukosa upeo kumemuangusha ingawa alitoa wimbo mzuri.

She was had such a huge hit, Uganda wakamuita wakategemea mtu mmoja sophisticated, wakakuta bonge la mshamba, wakashangaa sana.
 
 

Attachments

  • upload_2016-9-19_17-48-51.png
    14.8 KB · Views: 45
Kilichonifurahisha zaidi kwenye wimbo huu ni jinsi alivyotumia tamathali za semi kwa wingi huku tafsida zikishamiri. Tz tunahitaji wasanii wa namna hii ili kukuza lugha yetu ya kiswahili.
 
yaan hii nyimbo jamani so hot.. daaahh chibu dii chibu deeeee uendelee kiwa huko huko juu,
 
hivi ulichoandika ume compare na mada tajwa hapo juu
 
N kwel diamond anaelekea kupotea
Hiv anaigaje wimbo kihivyo?
Kapoteza mvuto kabisa
Nijuavyo mm wimbo wa saida kalori
Hizo swagga ni za Saida
Nmepoteza mb zng kuidownload hii
Shame to u WCB[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
hivi ni kwanini umeandika wcb kwa herufi kubwa?

kama una akili utaelewa nini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…