Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Wewe umejuaje kama ajapata baraka za wamiliki? Awezi kukurupuka kama unavyofikili ila dogo anawasumbua mnajua atafeli kesho kesho unaamka mnamuona anazidi kupasua tu...acha uchawi kijana
 
Sijui kwa nini ila mimi napenda mziki wa Mondi na wa Kiba equally...huwa natamani sana siku watoe collabo.

Naamini (napenda kuamini) wao hawana tofauti kama walivyo mashabiki wao..hivyo one day yes!!!

still hopeful...
 
 
Saafi
 
anaweza wakati kakopy? aje na vitu vipya kama aje ya kiba
Ungekuwa mhaya sidhani kams hayo maneno ungeyakumbuka mwenzio kiba kaishakimbiwa na mafans wake wahaya wote kisa wimbo wa salome ngojea mond atoe wimbo mwingine wa kilughs chako utaona kama utamkumbuka huyo kiba
 
Ungekuwa mhaya sidhani kams hayo maneno ungeyakumbuka mwenzio kiba kaishakimbiwa na mafans wake wahaya wote kisa wimbo wa salome ngojea mond atoe wimbo mwingine wa kilughs chako utaona kama utamkumbuka huyo kiba
Watu wengine ni wa kuwapuuza tu ndugu yangu manake hawaongozwi na uhalisia bali wanasukumwa na kitu kingine!
 
Chonka si diamond wakora mno wanyijukya omka ninja ugi chencha engoma ombugenyi yoyoyoyo mbaka singe tata
 
Mkuu hance mtanashati, kuna version ya Club Bangger (Official Audio) hapa, si mbaya ukiwawekea raia wapate imagination club itakuwa vp!!
 
Diamond sio mtu mzur jaman kaivuruga vuruga nisamehe jaman eti ndo lilikuwa jiwe la mwaka uwiiiiii polen san tim k
 
Aisee huyu jamaa basi tena.....we unadhani kupiga Picha na Mr. Prezda mchezo??...kufunguliwa geti la Mr. Prezda eti ukamsalimie tu MCHEZO??....ujue nae kakubali mziki wa WCB...
Mwambieni Ali na yeye aende muone kama hajarushwa kichurachura kuanzia MSOGA mpaka DAR
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…