Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Hahahaaa pale swali linapokuingia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] pale unapoamua kujichekesha. Katupie tatu kichwa kesho hizo Rasta siyo utamaduni wetu.
 
Ucheshi na sautieee
Amenifanya nammiss tuu
Mwambie asiogope
Aliii ni kipenzi cha watuu
Nitafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
Asiogope aje na rafiki zakee
King kibaaaa AJE hizi ndio nyimbo za kudikiliza sio kukopy kopy tu nyimbo za watu hapa
 
Hatimaye King Kiba anyoosha mikono juu na kuisifia ngoma mpya ya Diamond Platnumz na Rayvan iitwayo Salome


Mastaa wengine pia walioielewa hii ngoma na kuipa promo ni kama vile aslay na shilole



Hama kweli minyoosho inaendelea

















 
Kuna watu walisema Diamond ameiba hii nyimbo. Sasa Salaam meneja wa Diamond kajibu kwa kupost hiii kitu hapa chini.

 
Hahah mtu akiangalia ule wimbo wa mwana dsm anajua kabsa hakuna connection.

Unataka kusema wimbo woteee umejaa tamaduni za kinaijeria!!?
Hebu kaangalie video tena, amechanganya na nyinge kapiga ki pwani, na kuna wadada wano cheza na nyuongo wale, ndio maan nikasema kachanganya tamaduni.
Na angeimba halafu akatoa kama saida utofauti unakujaje!!?
Angetoa kama Saida alijua kabisa mngesema kakopi kila kitu
Naye mjanja.
*heko domo, endelea kukimbiza baba
 
kwahyo bongo hatuvai vitenge?
tunda hajavaa kitenge?
na wale wadada wenye nyungo?
moseiyobo kajifunga nini?
au hizo kwachu kwachu ndo zimeharibu...
na hio makeup ya maznat????
Hahaha.
Haja angalia video
Au kaangalia kwa ajili ya kutafuta critics tuu
 
Lyrics zake zinanikosha.tukimbizane nini salome wangu, hiyo michezo ya kijogoo. Inama kidogo,shika magoti.mimi nimesimama kama ngongoti. Hapo ni kimafumbomafumbo.
natamani dogo angeendelea kuimba. mbona watizama chini....... bonge la lyrics
 
Hivi Diamond atakuwa mjinga kiasi gani kuachia wimbo kama ule bila kuwa na makubaliano na saida mwenyewe?
Tena wasipojiuliza, na jina kaita la original song lakini bado mtu anaamini kafanya hivyo bila kuhusisha wamiliki!!!
 
Hahhaaa kuwahi kutokea katk nchi ya Tanzania au Nigeria??? Maana maneno tu ya kitanzania lakn video ni unigeria mtupu.. Poor Tanzania
Kazi unayo hadi unatia huruma aisee!!!
 
Kweli hizo ndio nyimbo za kidikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…