Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara kwa mara. Wanadai uvumilivu wa usumbufu huu umewashinda!!
....Nadhani ni bora huyo anaemtengeneza nywele Salma awe anakwenda kumuhudumia huko huko ikulu...Kwani JK akitaka kupunguza nywele ili apige picha lazima aende salon kinondoni (BM) au Sinza????Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara kwa mara. Wanadai uvumilivu wa usumbufu huu umewashinda!!
mhu hii kali!si awe anatengenezwa hapo hapo ikulu!
Hizi ni spinning za Philemon Mikael, huu ni udaku peleka inapohusika..
Udaku huu... Mama Salma mbona anawatu maalum wa maswala ya urembo na mavazi tena wapo karibu nae na sio kama ilivyowekwa hapo juu na muanzisha Hoja. Tuongee vyenye maaana jamani au ndio mnataka kuifanya JF kuwa 8020 Fashion.
Ndio maana mi nikauliza anakwenda saluni gani?
Hizi ni spinning za Philemon Mikael, huu ni udaku peleka inapohusika..
....masatu and who ever that is down with such thought..blow...blow...
.......masatu you can write better than that.....who cares about that lousy crack..or her top.....inakuwaje utoke huko uliko toka uanze kusema that is my spinning...people dare talk openly ...sasa ubafikiri kila mtu atakuwa anaamini unachoamini...dude ameandika what he think is true....comfront him with ...reasons....au hakikishia jamii kuwa watu hawakalishwi kwenye foleni ....na utuambie security motorcade detail ya first ladies kuanzia awamu ya kwanza ilikuwaje....hadi sasa awamu ya nne.....
sikupenda..wewe kunihusisha na mtoa mada wakati kila mmoja ana uhuru wa maoni.....acha assumtion au nightmares zako ...
thanks mzee...aint no mean to offend nobody!!!
Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara kwa mara. Wanadai uvumilivu wa usumbufu huu umewashinda!!
Mkuu,
Hii habari kwanza ililetwa na wewe ( correct me if im in wrong ) hapa. Kwa maelezo yako ya sasa je unakana yale uliyoaandika before?
Huu ni udaku na unajua hivyo lakini kwa sababu unazozijua mwenyewe unashabikia, nimekuhusisha na mada hii kwa sababu wewe ndio muasisi wa hii mada haya sasa tueleze hizo security details za 1st lady wa awamu ya kwanza basi.
Kasirika mpaka upasuke habari ndio hiyo!