Ach upumbavu wewe, Kwani uliambiwa kuna nyongeza yoyote itatok mwezi huu? Kw nini mnapenda sana kuwashwawashwa?Wadau wale waliojiunga na salary slip portal fungueni mjionee wenyewe mi sina mengi aisee
Salary slip ndo nini?
Ungesema watumishi wa umma wa Tanzania mkuuWatumishi wa Umma ni viumbe wa ajabu kuwahi kutokea kuishi Duniani.
Age yako inaonyesha namna unavyo panic mapema. Upo kwenye foolish age...vumilia tu
Anapoweka bila picha inaonyesha anaweka umbea tu hauna lolote, akileta taarifa aweke kielelezo tuone km kweli hajaongezewa. Aweke salary slip za miezi miwili nyuma tuone km figure haijabadilika kweli. Sio unaleta umbea unataka tukuunge mkono kwa ujinga wa kuficha. Km huna hela wewe huna tu, hata uongezewe mabilioni bado akili yako imelala
Ndo kitakachofanyika.HADAA.Jiwe halijawahi kuwa na hisia, hivyo pambaneni na hali zenu vinginevyo msubiri mwaka 2020 mtaongezwa kwa ajili ya kuwalaghai kwenye uchaguzi mkuu
Ungesema watumishi wa umma wa Tanzania mkuu
Ach upumbavu wewe, Kwani uliambiwa kuna nyongeza yoyote itatok mwezi huu? Kw nini mnapenda sana kuwashwawashwa?
Una maanisha haujatoka?Ukuda huo unataka kumchota nani wewe salary slip haitoki kabla ya mshahara labda mwenzetu ushapata mshahara
Ukuda huo unataka kumchota nani wewe salary slip haitoki kabla ya mshahara labda mwenzetu ushapata mshahara
Samahani sana. Nimethibitisha ni kweli hakuna ongezeko tuendelee kuisoma nambaWadau wale waliojiunga na salary slip portal fungueni mjionee wenyewe mi sina mengi aisee
Very sorry brother. Ulichosema ni sahihi. No ongezeko tuendelee kupambana na hali zetuSalary slip zimetoka kweli,jaribu kuangalia kwanza kabla ya kupinga.