Salamu!!

Salamu!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Hello MMU!!me leo cna cha kupost ila nimeona ni bora niwasalimie 2 kuliko kukaa kimya muda mrefu hadi wa2 mhc nimekufa....

Senetor ulifichwa wapi ndugu
Karibu sana mkuu
Sisi ni wazima mkuu

ni kweli....kama mimi nilijua umesharest in peace........hujambo lakini......

Senetor ulifichwa wapi ndugu

Karibu sana mkuu

Sisi ni wazima mkuu

ndugu yangu majukumu ya ulimwengu 2,ila 2po pamoja sana..

ni kweli....kama mimi nilijua umesharest in peace........hujambo lakini......

cjambo da preta,cjarest in peace bado,maisha 2 ndo yanayonifanya nilimc hli jukwaa..vp jpil utaenda kanisani?

[h=2][/h]
Hello MMU!!me leo cna cha kupost ila nimeona ni bora niwasalimie 2 kuliko kukaa kimya muda mrefu hadi wa2 mhc nimekufa....

hata ukifa kwa nini iko nii si tutakupeleka ukabishe hoi kwa Muumba akufungulie lango ukapasue anga za milele......................ila sina uhakika hapa ni mahali pake labda hii mada ni ya chit-chat....................................hapa tunataka kusikia juu ya jinsi unavyokabilana na changamoto za mahusiano tu................................................

Uji hujabaki... ila kuna chai ya maziwa ina iriki, karafuu, tangawizi na abdlasini...

Asha DII kwa haya maelezo sihitaji ushahidi mwingine wa ya kuwa wewe umekula futari hadi ukavimbiwa..........yaani sufuria la uji umelikunguta lote......halafu hata hiyo chai umejaza viungo kibao ili tusiipigie mahesabu du!!!!!!!!!!!!!!!!111

marahaba mtoto mzuri ee!!!!!!!!

nilisika hata babu seya alikuwa akiongea vivi hivi ila sijui kama kuna maana iliyojificha hapo..............................grooming someone for a sexual attack?

Asha DII kwa haya maelezo sihitaji ushahidi mwingine wa ya kuwa wewe umekula futari hadi ukavimbiwa..........yaani sufuria la uji umelikunguta lote......halafu hata hiyo chai umejaza viungo kibao ili tusiipigie mahesabu du!!!!!!!!!!!!!!!!111

Ruta unafikiri JK katuweka pazuri... hio sukari ya kuchezea uji ugae gae iko wapi??

Na Rutah hivo viungo kwenye chai vina vipimo vake... ukijulia hio chai hutataka kinywaji kingine...lol

Teh,teh,teh,teh!!!!

Ruta unafikiri JK katuweka pazuri... hio sukari ya kuchezea uji ugae gae iko wapi??

Na Rutah hivo viungo kwenye chai vina vipimo vake... ukijulia hio chai hutataka kinywaji kingine...lol

Na kwel cku hiz sukar ni ishu! Zamani iftar kalmat za sukari,uji wa sukar,tambi za sukari,maharagwe ya sukari vyote tunapiga muda mmoja.
Bt cku hiz lol heeh heeh imekula kwetu ADii

Bora nawee umeona hilo...lol

Back
Top Bottom