WAMBOI ALI
New Member
- Jan 6, 2011
- 1
- 0
Mambo
Ndivyo ulivyofundishwa na wazazi wako kusalimia?
Mpevu wakati mwingine salamu tu inatosha kukueleza ni mtu wa namna gani umekutana nae,hivyo inafaa wakati mwingine tuwakumbushe umuhimu wa salamu maana hapa ni mahali pa heshima kubwa.Today we've wonders in the forum, kaka Joseph leo unarekebisha tabia tu kwa wageni ha ha haaaa
Mpevu wakati mwingine salamu tu inatosha kukueleza ni mtu wa namna gani umekutana nae,hivyo inafaa wakati mwingine tuwakumbushe umuhimu wa salamu maana hapa ni mahali pa heshima kubwa.
Ndivyo ulivyofundishwa na wazazi wako kusalimia?