Salamu Toka kwa Erickb52

Mie pia sijamwona mda mrefu sana..........umemkumbuka vile nimetaja unga ltd eeh?
Hahahaaaaa eeeeh nimekumbuka na nkamkumbuka na Bishanga wakati ule kabadili Location akaweka Unga LTD then alipofika kule akakuta vidume watatu nao wamejiexport lol ilikuwa kaaaazi true true
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa halafu na zile picha zimeondoka so atakuwa anatuma comment kavu eeeh
Muombee basi kalaptop kapya kwa KakaKiiza labda katamsaidia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa mi siwezi kuwa muha aisee coz wale jamaa ni wabishi dunia nzima hakuna lol
Unaweza kumwambia Kigoma hakuna bahari ye akakuambia kuwa ipo na mkabishana hadi panakucha lol


Hahahahahahahah lol.....nimecheka sana daah....kweli hao ni wabishi asee !
 
Hahahaaaa Mentor kwanza huyo shem beibe nasty unataka namba yake ya nini wakati unaweza kuwasiliana kupitia namba ya Judgement ?
Au ndo unataka kumzunguka kama Smiling Saint ?

Jamani jamani...unaona madhara ya kudandia treni kwa mbele!?? ungekuwa Lamu ushapigiwa 0713..lol! beibe nasty ni mdogo wangu (mtoto wa mama mdogo in real life) alitakiwa anipe namba ya shemeji Judgement tangu Ijumaa ila kaniekea pozi mpaka nimnunulie (*********)!!!
ndo nimekuja kumsemelea kwa mumewe...
 
Last edited by a moderator:
Heheheee najua lazma ujiteteee lool
Haya sawa mnunulie sasa au nikutumie mimi? au unataka kutoka beibe nasty tu?
Kwi kwi
 
Last edited by a moderator:
Nawe umeadimika jamani?
Nani anakutunza harakati?


(Note: Kutunza harakati = keep busy)

 
Hahahaaaa Kongosho umenichekesha na Kutunza harakati lol sikuwa naijua hiyo!
Hapa naona kuna mtu ananiweza kweli kweli hope unamjua coz hata yeye amepotea
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…